mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,344
- 12,472
Habari za muda huu wanajf Mimi kijana wenu Niko Dodoma hapa na hitaji laptop yenye processor ya kuanzia 2 GHz na chaji angalau 2hrs bajeti yangu ni 230k asanteni ni Pm kama unayo
Yuko wapi huyo dada?ipo lakin adapter inazinngua kuna dada anaiuza
yupo dar kama una rafiki yako anaweza onana naye akaicheki.Yuko wapi huyo dada?
Shngap hiyo?kuna toshiba satellite
core i7 3rd 3650HQ gen 4 core 8 thread
RADEON 2GB
RAM 6GB
450kShngap hiyo?