Laptop imemwagikiwa na juice

Laptop imemwagikiwa na juice

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
921
Reaction score
2,246
Ni. aina ya lenovo G500
Ilimwagikiwa na juice
Mpaka sasa screen haiwaki..
Ukiweka chaji monitor ya charging inaonekana but ukiwasha n nothing...

Naomben msaada cha kufanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa angu nae alikuwa na shida kama hiyo yeye PC yake ilimwagikiwa na soda ikagoma kuwaka,aliipeleka kwa fundi wakaifungua wakaisafisha safisha ikakaa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatzo n vtendea kazi ndugu...!!kesho j3 naenda mjini kuisafisha....!!inanipaga kampani saana nikiwa rum alone...now nahc km vile nipo jela...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom