teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 136
Nimenunua laptop aina ya Microsoft SurfaceGo nikashusha window na baadae ikawa inafanya kazi kama kawaida, nika shut down nikaitunza lkn baada ya muda nilipotaka kuitumia imegoma kabsa kuwaka. Nimechomeka chaji zaidi ya saa moja lkn wapi, hapa nimechanganyikiwa naona kama nimepoteza hela yangu.
Kama kuna mwenye ujuzi labla ya kupeleka kwa fundi anisaidie. View attachment 1574189
Kama kuna mwenye ujuzi labla ya kupeleka kwa fundi anisaidie. View attachment 1574189