mchumi tumbo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 830
- 997
Laptop yangu HP probook 6360b ilizima ili Hali battery ikiwa full charged na nilipojaribu kuiwasha tena imeshindikana. Nilijaribu connect kwenye umeme but still haikuwaka.
Nimepeleka Kwa fundi kaniambia PC ina vumbi na processor imekufa,bei ya processor 30k.
Kwa yoyote mwenye uelewa wa hili tatizo, je sababu yawezakuwa hizo alizotaja Fundi?, na Vipi kuhusu ghalama Za hiyo processor ni sawa?,
Kama una Ujuzi wowote juu ya tatizo unakaribishwa.
PC bado sijamkabidhi fundi aitengeneze.