laptop gani nzuri na ntapata wapi kwa sh ngapi approximately?

Chemwali

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
397
Reaction score
178
Mwezi huu nina kamshiko kadogo nakatarajia,moja wapo ya budget zangu ni laptop..maana sometimes nakuwa na mareport yangu ofisini inanilazimu nichelewe kutoka while ningeenda tu kumalizia home.si mtaalam wa brand zipi best,wala toleo..sana sana nachotamani iwe na uwezo wa kukaa na charge kwani mdogo wangu ana toshiba .... yaani ni mpya but haikai na charge..mara nyingi unaitumia charger ikiwa karibu..na pia kwenye moderm ni go kwa type gani ya modern for internet?
 
Nunua HP au Sumsung ni nzuri sana, nenda kwa huyu 0717189256 atakusaidia na upande wa modem inategemea ni wapi upo kwa ajili ya network nzuri, kwa ujumla ya voda ni nzuri pia.
 
thanks tho i heard that hP zina tendecy ya kuheat mnoooo
 
Sio kweli labda kama ni ya kichina, ww mpigie huyo mdosi atakupa kitu mpaka utafurahi (au muhoji kwanza ujiridhishe).
Au kama uwezo upo juu nenda Quality Plaza pale iDigital ununue macbook kama mimi.
 
Mwezi huu nina kamshiko kadogo nakatarajia,moja wapo ya budget zangu ni laptop..maana sometimes nakuwa na mareport yangu ofisini inanilazimu nichelewe kutoka while ningeenda tu kumalizia home.si mtaalam wa brand zipi best,wala toleo..sana sana nachotamani iwe na uwezo wa kukaa na charge kwani mdogo wangu ana toshiba .... yaani ni mpya but haikai na charge..mara nyingi unaitumia charger ikiwa karibu..na pia kwenye moderm ni go kwa type gani ya modern for internet?

Check na Apple, Toshiba, au Dell. Suala la Laptop kukaa na charge inategemea na task unayoifanya kwa wakati huo, kwa mfano kama unachapa kaz yoyote na hufanyi kingine waweza tumia dakika kati ya 20 hadi 45 ila kama una-play music au movie au una-access internet utatumia kati ya dakika 15 hadi 30.

Lakini ktk kutumia laptop unashauriwa kutoichomoa kwenye umeme hadi umalizapo kazi zako. Hii inasaidia betri yake kudumu kwa maana kua inapokua imejaa, laptop ina automatic mechanism ya kudisconect betri kwenye umeme na kuanza kutumia direct umeme from the source.

Kuhusu modem nakushauri uchague mwenyewe aina ya mtandao utakaoona unafaa. Kwa ujumla hakuna mtandao ulio bora kuliko mwingine.

Kila laheri.
 
Hata mimi nakushauri go for toshiba au atleast dell..For mi toshiba is the best..huwa siziamin sana hp..haswa haya matoleo ya skuizi yamekaa kibiashara sana..ila toshiba ni reliable sana for my experience..
 
Hata mimi nazikubali toshiba lakini kama una uwezo tafuta mac. Bajeti yako mi kiasi gani?

Tafuta yenye specification kama:
RAM: 2 GB au zaidi
HARD DISK DRIVE: 250 GB au zaidi
Processor: Duo(doubled) au zaidi
BITS: 64

MODEM: Nunua huawei za voda ni rahisi kuchakachulika ukatumia line yeyote.
 
Hata mimi nazikubali toshiba lakini kama una uwezo tafuta mac. Bajeti yako mi kiasi gani?

Tafuta yenye specification kama:
RAM: 2 GB au zaidi
HARD DISK DRIVE: 250 au zaidi
Processor: Duo(doubled) au zaidi
BITS: 64

MODEM: Nunua huawei za voda ni rahisi kuchakachulika ukatumia line yeyote.

thanks fadhili Paulo budjet yangu ni around laki 7
 
Utapata mashine nzuri sana zaidi ya nilivyoeleza ninauhakika, ukipatwa na wasiwasi nijulishe nitakusaidia. Namna nzuri si kwenda duka 1 na kununua hapo hapo, zunguka maduka kama 10 ukiona bei zinaendana chukuwa uamuzi lakini kama ni mgeni sana nenda na mtu.

thanks fadhili Paulo budjet yangu ni around laki 7
 
Mi nakushauri tafuta toshiba zinapiga mzigo fresh sana, ukikosa basi angukia kwa dell
 
Check na Apple, Toshiba, au Dell. Suala la Laptop kukaa na charge inategemea na task unayoifanya kwa wakati huo, kwa mfano kama unachapa kaz yoyote na hufanyi kingine waweza tumia dakika kati ya 20 hadi 45 ila kama una-play music au movie au una-access internet utatumia kati ya dakika 15 hadi 30.

Lakini ktk kutumia laptop unashauriwa kutoichomoa kwenye umeme hadi umalizapo kazi zako. Hii inasaidia betri yake kudumu kwa maana kua inapokua imejaa, laptop ina automatic mechanism ya kudisconect betri kwenye umeme na kuanza kutumia direct umeme from the source.

Kuhusu modem nakushauri uchague mwenyewe aina ya mtandao utakaoona unafaa. Kwa ujumla hakuna mtandao ulio bora kuliko mwingine.

Kila laheri.

Wewe!Hio laptop ya dakika 20-45 ni desktop...betri inakuwa imechoka sana...
 
natumia dell latitude e5530 ni mashine fresh, betri yake inakaa mpaka masaa sita kama unafanya kazi za kawaida, ukiongeza kamziki kwa mbali inakaa masaa 4 mpaka 4.5 ina option ya kuweka betri ya pili (87,90 0r 97Whr), 97Whr ikiwa full charged, utaitumia computer siku nzima bila kuhitaji kuconnect kwenye umeme. naipenda hii computer cause ninapokuwa field sina wasiwasi wowote.
 
Mwezi huu nina kamshiko kadogo nakatarajia,moja wapo ya budget zangu ni laptop..maana sometimes nakuwa na mareport yangu ofisini inanilazimu nichelewe kutoka while ningeenda tu kumalizia home.si mtaalam wa brand zipi best,wala toleo..sana sana nachotamani iwe na uwezo wa kukaa na charge kwani mdogo wangu ana toshiba .... yaani ni mpya but haikai na charge..mara nyingi unaitumia charger ikiwa karibu..na pia kwenye moderm ni go kwa type gani ya modern for internet?
dell bado wapo juu hasa kama una uwezo ukipata dell vostro au kama uwezo wako ni wa kawaida dell inspiron(yenye double processor ni the best).
na kwa upande wa internet nakushauri sana zantel wako poa na hawana mizengwe labdda kama uko sehem zantel hawashiki netwek(nasema hivi kutokana na experience) kwa spidi na gharama nawakubali...
 
Mwezi huu nina kamshiko kadogo nakatarajia,moja wapo ya budget zangu ni laptop..maana sometimes nakuwa na mareport yangu ofisini inanilazimu nichelewe kutoka while ningeenda tu kumalizia home.si mtaalam wa brand zipi best,wala toleo..sana sana nachotamani iwe na uwezo wa kukaa na charge kwani mdogo wangu ana toshiba .... yaani ni mpya but haikai na charge..mara nyingi unaitumia charger ikiwa karibu..na pia kwenye moderm ni go kwa type gani ya modern for internet?

CHECK ME ON 0763434957 I have HP620
 
Laptop inayokaa chaji Dakika 45 ukiwa waangalia movie hiyo betri inkuwa imechoka ten sana.
Kama unanunua laptop kwa ajili ya kuchapa na Internet huihitaji kuifanyia kazi kubwa basi Nunua laptop yenye vigezo cya Kati Kwani itkusaidia kukaa na chaji zaidi
Jinsi laptop inabyokuwa na capacity kubwa ndivyo hata capacity ya betri kukaa na chaj invyppungua japokuwa pia uwezo wa betri kutunza chaj kunategemea cells betri lilizo nazo.
Kwangu nakushauri go for Hp au Dell kama mfuko unruhusu sana go for mac
 
nakubali mkuu, nina ka hp kwa kuangalia movie tu yani hadi 4 hours.
 
laptop za samsung naona zipo vizuri,kwa hiyo hela yako utapata brand new yenye uwezo mzuri wa kukaa na charge hadi masaa 3 hata na zaidi
 
Go 4 lenovo ts a gud laptop i use it 4almost a yr and 7months na haijawah kunizngua even once
 
Mwezi huu nina kamshiko kadogo nakatarajia,moja wapo ya budget zangu ni laptop..maana sometimes nakuwa na mareport yangu ofisini inanilazimu nichelewe kutoka while ningeenda tu kumalizia home.si mtaalam wa brand zipi best,wala toleo..sana sana nachotamani iwe na uwezo wa kukaa na charge kwani mdogo wangu ana toshiba .... yaani ni mpya but haikai na charge..mara nyingi unaitumia charger ikiwa karibu..na pia kwenye moderm ni go kwa type gani ya modern for internet?

Nikuambie ukweli kutokana na experience ya muda mrefu ya laptops, Brands bora kwa sasa kwa laptops zinazotumia Operating system ya Windows ni hizi hapa katika mfululizo wa kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho ni HP, Toshiba, Dell, Samsung, Lenovo. Hata kwa mauzo mwaka jana 2012, HP waliongoza kwa Kampuni zilizofanya mauzo mengi sana ya laptop na bidhaa nyingine. Watu wanalalamikia HP either itakua alipata mbovu wakati ananunua au sio genuine. Lakini katika kampuni ambazo wanauza Quality laptops ni HP, hata ukiangalia kwenye maduka mengi ya laptops bei za HP laptops ziko juu ukilinganisha na zingine, Toshiba nayo ni hivyo hivyo, Dell wamekuwa wakilalamikiwa hata duniani kuwa ubora umepungua ukilinganisha na ilivyokuwa zamani, na hio pia ikasababisha mauzo yake kushuka sana mwaka jana, HP wana historia ya Ubora kitambo sana na wame-maintain hio standard. HP, Toshiba na Samsung wako vizuri. kuna HP Probook 4530s au HP Probook 4555 ziko zinapatikana kwa bei kama yako unayotaka ya laki saba, inakaa na charge zaidi ya masaa 5 ikiwa inatumika, speed nzuri kabisa na ina uwezo mkubwa wa kuhifadhi data. Ukitaka laptops nzuri na kama upo Dar es salaam, tembelea duka moja liko Posta ndani ya jengo la JM Mall, linaitwa Freedom Communications. Wana laptops za brands nyingi na bei zao ni nzuri ukilinganisha na maduka mengi sana mjini.
 
Back
Top Bottom