Laptop gani ni nzuri kwa coding na programming kwa bei nafuu

Laptop gani ni nzuri kwa coding na programming kwa bei nafuu

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,080
Reaction score
3,769
Salaam wakongwe ni laptop gani ambayo ni nzuri kwa coders na programmers na kwa bei nafuu?

Na swali lingine ni kwamba naweza pata kwa range ya ngapi
 
Back
Top Bottom