Salaam wakongwe ni laptop gani ambayo ni nzuri kwa coders na programmers na kwa bei nafuu?
Na swali lingine ni kwamba naweza pata kwa range ya ngapi
Natanguliza shukranj
1.8m tafuta core i3 gen ya 12, ndio zinatoka na mtaani sio nyingi. Kama unaweza agizishia online website kama Amazon.Budget ni around 1.8M maana nimeenda duka moja wamenionesha ma XPS ya 5M duh










Nadhani ushatoka nje ya uzi wa jamaa, soma kichwa cha habariUkipata Macbook pro 14'' apple Max M1 chip ni mzukaaa
Kkoo inauzwaje hiiJaribu hP elitebook 820 g4
g4-7th generation.
Battery wanasema inakaa masaa matano ila sikuwahi kuhakiki
Ram upgradable to 32 gb
Inakuwa na sehemu ya SSD up512gb-recommend maana inakuwa faster tofauti na hdd
HDD 1TB
64-bit
Core i5
CPU @2.6ghz upto 3.5ghz with intel turbo speed
Windows 10 proffesional
Zanzibar wanasema bei ziko chini
Sema usiagize mtandaoni utapigwa![]()