Laptop Dell E 6400

ichenjezya

ichenjezya

JF-Expert Member
1,007
2,000
Wadau kuna jamaa anataka tubadilishane laptop Dell latitude E6400,ina RAM 1GB,HD 230,na ya kwangu ni Dell latitude 630,RAM 1GB,HD 80GB,anasema nimuongezee na alfu hamsini,so nishaurini wadau ubora na ubaya wa DELL latitude E 6400 compared to DELL latitude 630......
 
epson

epson

JF-Expert Member
539
250
Kwa ujumla Dell Latitude series ni nzuri, imara, betri zake zinakaa kwa muda mrefu n.k . nilikuwa nategemea E6400 iwe na RAM ya 2GB na sio 1GB, kama ina RAM ya 1GB utatakiwa ku-upgarde to 2GB or above otherwise itakuwa somehow slow ku-run HD 320, vipi kuhusu processor yake?
 

Forum statistics


Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom