Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Which lease deal?Ofcourse most of the activities will be militarily related, they probably have already been paid after signing a 50 years lease deal.
Sent using Jamii Forums mobile app
Which lease deal?Ofcourse most of the activities will be militarily related, they probably have already been paid after signing a 50 years lease deal.
Sent using Jamii Forums mobile app
povuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! π π π π π π π π π π π π π π π π π πI
Is it your money? Why are you so concerned with other people's investments?
Nani ana wivu kuhusu mradi huu. Wewe ama mimi?povuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! π π π π π π π π π π π π π π π π π π
I
Is it your money? Why are you so concerned with other people's investments?
Watu mkiambiwa Kenya is Nairobi wanabisha mara ohoo kuna lami mpaka Turkana mara sijui mpaka Lamu! Kiko wapi sasa??
The Kenyan government has said the countryβs oil production breaks even from $34 per barrel, indicating a potential windfall from the current international crude oil price of $64.
Tullow says it has suspended Kenyaβs early oil export scheme due to severe damage to roads caused by heavy rains in the fourth quarter of last year.
βTrucking remains on hold until all roads are repaired to a safe standard. Work continues with joint venture partners and the Government of Kenya to progress the development project,β the firm said.
Tullow Oil writes off $800m Kenya, Uganda investment
Costs written off are driven by a write-down of the value of the Kenya, Uganda assets.www.theeastafrican.co.ke
The launch date for Lamu port is kept being shifted forward!
NInyi bure kabisa mnajenga bandari kwa haraka bila kufikiri ilikuwa woga wa kuogopa Bagamoyo Sawa na kufunga ubwa kwa kutegemea mavi ya mleviKha!!naona siku hz umekua mdogo km piriton....una haha kweli jomba, yani bila ya bagamoyo sahauni kabisa meli kubwa kubwa tanzania
Maneno ya mkosaji hayoNi
NInyi bure kabisa mnajenga bandari kwa haraka bila kufikiri ilikuwa woga wa kuogopa Bagamoyo Sawa na kufunga ubwa kwa kutegemea mavi ya mlevi
Ni
NInyi bure kabisa mnajenga bandari kwa haraka bila kufikiri ilikuwa woga wa kuogopa Bagamoyo Sawa na kufunga ubwa kwa kutegemea mavi ya mlevi
Pwahahahahahahaβ¦.Nimecheka hadi ndege wakatoroka mitiniNi
NInyi bure kabisa mnajenga bandari kwa haraka bila kufikiri ilikuwa woga wa kuogopa Bagamoyo Sawa na kufunga ubwa kwa kutegemea mavi ya mlevi
Tulianzisha LAPSSET Project mwaka wa 2008, infact ukiangalia project timeline utagundua iki behind schedule.... nyinyi mliposikia tunajenga Lamu port ndo mkakimbia mbio mbio kuanzisha bagamoyo port kama jiibu ya Lamu port bila kujipanga au kufikiria... mwishowe mkashindwa kushindana na Ndovu kunya!Ni
NInyi bure kabisa mnajenga bandari kwa haraka bila kufikiri ilikuwa woga wa kuogopa Bagamoyo Sawa na kufunga ubwa kwa kutegemea mavi ya mlevi
Duuh MidanganyikaTulianzisha LAPSSET Project mwaka wa 2008, infact ukiangalia project timeline utagundua iki behind schedule.... nyinyi mliposikia tunajenga Lamu port ndo mkakimbia mbio mbio kuanzisha bagamoyo port kama jiibu ya Lamu port bila kujipanga au kufikiria... mwishowe mkashindwa kushindana na Ndovu kunya!
Nina wasi wasi kwamba kila nchi yenye mwambao wa bahari ina imarisha bandari zake jibout wameimarisha kwa ajili ya Ethiopia na kusini ipo Mombasa na Dar, je lapsset itakuwa mwenyeji wa nani kama sio tembo mweupeTulianzisha LAPSSET Project mwaka wa 2008, infact ukiangalia project timeline utagundua iki behind schedule.... nyinyi mliposikia tunajenga Lamu port ndo mkakimbia mbio mbio kuanzisha bagamoyo port kama jiibu ya Lamu port bila kujipanga au kufikiria... mwishowe mkashindwa kushindana na Ndovu kunya!
Sawa basi kajitieni vidoleNi
NInyi bure kabisa mnajenga bandari kwa haraka bila kufikiri ilikuwa woga wa kuogopa Bagamoyo Sawa na kufunga ubwa kwa kutegemea mavi ya mlevi
Bagamoyo ndio itakuwa Tembo Mweupe kabisaaNina wasi wasi kwamba kila nchi yenye mwambao wa bahari ina imarisha bandari zake jibout wameimarisha kwa ajili ya Ethiopia na kusini ipo Mombasa na Dar, je lapsset itakuwa mwenyeji wa nani kama sio tembo mweupe
Usitie wasi wasi, Duniani ni bara la Africa pekee ndo limewachwa nyuma, kule kwengine ports zina operate kwa Model ya Hub and Spoke...... Yani unakuta bandari moja ndo inapokea meli zote kubwa kubwa alafu meli ndogo ndo zinatumika kusambaza mizigo kwa bandari zengine.... Kule China ni Singapore, Shanghai na Hong Kong, Marekani ni port of Miami na NewYork, South America ni Portof Brazil,Europe ni port of Antwerp na Rotterdam. ......Nina wasi wasi kwamba kila nchi yenye mwambao wa bahari ina imarisha bandari zake jibout wameimarisha kwa ajili ya Ethiopia na kusini ipo Mombasa na Dar, je lapsset itakuwa mwenyeji wa nani kama sio tembo mweupe
SCOPE
The inner side of berth 1-3 could also be a dockyard for smaller ships (depth-wise) like cruise ships, at least from the above and below pic