LAPF wanaita oral interview Dodoma

LAPF wanaita oral interview Dodoma

WAdau nimepokea simu jioni hii interview LAPF dodoma jumamosi kaeni karibu na simu zenu[/QUOTE
Umepewa maelezo ganı ,Iyo ıtakua Oral au wrıtten tena??? Isıje ıkawa kama mambo ya PPF
 
Naona LAPF haikuwa riziq yangu. All the best kwa wote mtakaoitwa. Cha msingi ni kujiandaa vizuri tuu. LAPf hakuna magumashi. # Raqeeb ni PM
 
WAdau nimepokea simu jioni hii interview LAPF dodoma jumamosi kaeni karibu na simu zenu


Mkuu embu tupatiie details zaidi, UMEITWA POSITION GANI, INAFANYIKA LINI
 
Hizi taarifa za kwamba LAPF wameita watu kwa Oral Interview na itafanyika Dodoma ni za kweli?????naomba kujuzwa wadau
 
Ni oral interview wamenambia DODOMA jumamosi sa2 na nimeitwa post ya compliance officer wamenambia niende na origional certificate only!


Thanks Mkuu, Let us wait kama na sisi bahati itatuangukia
 
Ile pepa ilikua noma aisee ukichanganya na ile nyomi pale ni balaa 3000+ candidates sio mchezo
 
Mie kuna jamaa yangu kaitwa Oral lakin kwenye written hakuitwa kabisa....hapa nashindwa kuelewa
 
Back
Top Bottom