LAPF Saccoss Dodoma wameshaita ama bado?

LAPF Saccoss Dodoma wameshaita ama bado?

Bokohalamu

Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
94
Reaction score
8
Tafadhari naomba kujuzwa hivi hawa jamaa walishaita kwenye Saccoss yao Dodoma post ya accounts.
 
bado tutawaita kama.watu mia tatu hiv na interview zitakuwa nne siyo tatu tena
 
bado tutawaita kama.watu mia tatu hiv na interview zitakuwa nne siyo tatu tena

Tafadhali Chief kua serious watu mia 3 nafasi ngapi na interview 4 watakua wanatafuta nini?Utafikiri NEC wanatafuta mgombea!!
 
Back
Top Bottom