kuna post iliwekwa hapa kuwa waliopata 50 marks and above ni watu 9 tu! Jipime, chukua hatua!
Kwa hiyo inawezekana wameita watu hao hao tisa tu !!?
Kwa hiyo inawezekana wameita watu hao hao tisa tu !!?
Post haikufafanua.
Kama wapo waliofaulu, mchakato ukikamilika wataitwa tu.
Inawezekana mkuu kwa sababu chanzo changu kiliniambia mkurugenzi wa member services (DMS) alitaka watu hao hao tisa ndIo waitwe kazini ingawa alikuwa akipata upinzani kutoka kwa mameneja wake, kama nikipata updates zaidi nitawapa
But it takes too long ...ok ngoja tuendelee kuwa na moyo mkuu!!
But it takes too long ...ok ngoja tuendelee kuwa na moyo mkuu!!
Hiyo ni taasis ya umma. Bureaucracy is always there!