Landslide

kama bongo tutalia mwaka mzima sababu hicho kipande kitarekebishwa baada ya miaka miwili
 
ingekuwa bongo ingebomoko umbali kilometa 2kila upande..
 
Mkurugenzi wa kinondoni njoo huku ujionee tufanye upembuzi yakinifu.
 
Duh! Bora hatujajenga na sisi yangetukuta hayo!
 
Kwanza hyo high way inayojengwa hapo morogoro road ni balaa
 
Patrickn, Hakuna waliofunikwa humo ???? Ajali mbaya sana hiyo
 
Last edited by a moderator:
Aisee...kila kitu kina challenges zake
 
Aisee...kila kitu kina challenges zake

Tena hizo nchi zao ndio balaa kwa majanga ya asili, lakini wanakabiliana kila uchwao............
 
Tena hizo nchi zao ndio balaa kwa majanga ya asili, lakini wanakabiliana kila uchwao............

Kweli kabisa
Tupo nyuma kimaendeleo lakini ina afadhali yake
 
ehee, baada ya hapo ilikuwaje?

manispaa ya kinondoni kwa upande wa huko wameshaijenga upya!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…