sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Ni cc ngapi mkuu na una muda gani nayo tangu ulivyoipata hiyo gari.
kwa asili ni cc 6500 na atakuwa amaeinunua kwa mtu aliyeinunua kwa mtu aliyeinunua kwa mtu aliyeinunua kwa mtu aliyeinunua kiwandani.
wacha kukatisha tamaa wenzio wanaotaka kununua kama huna hela kaa kimya ,imeibiwa msumbiji umethibitisha? au unalopoka tuu na wewe uonekane umecoment
Hizi ni zile zilizokua za research naliendele,zililua mpya nikiwa na miaka 6 now im 30.
Umejuaje mkuu??? Au kila Landlover inayouzwa ni ya kutoka huko kwenu Nalilendele sijui... Au mradi umeandika tu..!!!!!!
Nnayo defender nauza mil15 ipo saf kama mpya