Landmark kufunga Hostel kurudisha Hotel August

..mi nimewahi kulala hapo kwenye ka gesti kao ka buku 5 mwezi mzima huku nikila hapo hapo...enzi hizo ndio nimepata ajira Dar Na sijaanza kupokea mshahara wala nyumba ya kuishi...nimewakazia sana mademu hapo gesti ya kinyaiya...enzi hizo...

hahaha napajua kipindi nikija huko Tanzania (DAR) maana mie niko huku Tanganyika, nilikuwa ninalala Landmark lakini msosi na vinywaji ni hapo Kinyaiya
 
..mi nimewahi kulala hapo kwenye ka gesti kao ka buku 5 mwezi mzima huku nikila hapo hapo...enzi hizo ndio nimepata ajira Dar Na sijaanza kupokea mshahara wala nyumba ya kuishi...nimewakazia sana mademu hapo gesti ya kinyaiya...enzi hizo...
Hongera, ulitumia kinga lakini?
 
Plus magufuli hostel zinaanza kutumika so atakosa kabisa wateja....
 
ni kweli mkuu kwa hoteli kama ile kufanya hostel kweli alikurupuka
Tena waswahili ni watu wabaya sana. Ni wanafiki mno. Hao vijana usikute waliharibu vitu vingine kwa makusudi ili wamkomoe
 
Si walimtetea huku kwamba sababu magufuli biashara nying zimefungwa haya sasa leo watasemaje?
 
Tulisemaga huku tukaambiwa hatujuwi mahesabu watu waka shusha mahesabu wakasama jamaa kacheza mamaaaeeee awe anauliza watu walisha dumbukiza miguuu karibia kwenye biashara mia na zaidi angekuja kuuliza huku asingejaribu hiyo kitu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…