hahaha napajua kipindi nikija huko Tanzania (DAR) maana mie niko huku Tanganyika, nilikuwa ninalala Landmark lakini msosi na vinywaji ni hapo KinyaiyaBado wapo sana, kuna mbuzi choma tamu sana pale
Ila jamaa anajuta sana kuifunga hotel, kwani anasema amepata hasara kubwa, mimi nikamwambia lamsingi ulichukua risk na sasa imeshajua kosa lako hautafeli tenahahaha napajua kipindi nikija huko Tanzania (DAR) maana mie niko huku Tanganyika, nilikuwa ninalala Landmark lakini msosi na vinywaji ni hapo Kinyaiya
Tuko pamojaThanks mimi shabiki wa Liverpool, nimejikuta nimewaza L ya Liverpool, nisha-edit
Gharama zikoje Mkuu na sisi wa huku vijijini tukifika mjini usiku tukapumzike hapo?hahaha napajua kipindi nikija huko Tanzania (DAR) maana mie niko huku Tanganyika, nilikuwa ninalala Landmark lakini msosi na vinywaji ni hapo Kinyaiya
Ila jamaa anajuta sana kuifunga hotel, kwani anasema amepata hasara kubwa, mimi nikamwambia lamsingi ulichukua risk na sasa imeshajua kosa lako hautafeli tena
Daah pana mtoto mmoja alikuwa anaitwa hadija.alikuwa mtamu sanaPale pembeni yake "KINYAIYA" bado wapo?