land-rover mkombozi wa enzi wa usafiri afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

land-rover mkombozi wa enzi wa usafiri afrika

Discussion in 'Jamii Photos' started by babukijana, Apr 14, 2010.

 1. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  lon6.jpg Spotted in Gauteng somewhere lon5.jpg Spotted in Mbeya, Tanzania. July 2005...

  Adriaan_Coetzee_Zam.jpg Spotted in Western Zambia somewhere. July 2005 lon7.jpg Spotted at Mosi-oa-Tunya N/P, Vic Falls, Zimbabwe. December 2005...

  lon.jpg Spotted in Zimbabwe somewhere. November 2005...
  lon3.jpg Spotted near Morgans Bay, Eastern Cape. March 2006...

  lon4.jpg Spotted in North Africa en route to Mauritania somewhere. October 2005...
  lon2.jpg Spotted in Ponta Malongane, Mozambique. December 2005...
   
 2. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ni kweli hizi Landrover 109 zilikuwa makini.Zikaja 110 ambazo ni biashara tu,na zilikuwa zinakula mafuta vibaya sana.
  Pamoja na hiyo 109,kulikuwa na lori la Bedford!

  Sijiu kama Britain bado wanatengeneza hizi model hizi tena.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mandolini bana ile ndo gari. kuna ile version walikuwa nazo polisi na jeshi, accelerator ilikuwa ya mkononi, nakumbuka dingi yangu alikuwa nayo longtime kishenzi. wakati ule ndo zilikuwa gari za kutokea, pamoja na peugeot na range rover wakuu wa mikoa ndo zilikuwa gari zao
   
 4. S

  Sinag Man Member

  #4
  Apr 15, 2010
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi inanikumbusha enzi za Mwalimu tunakula mikate ya boflo.
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hizo gari ngumu sana lakini 109naona gari ni dayosisi ya Mbeya sasa ziko juu ya mawe
   
 6. C

  CLAY KITUMBOY Senior Member

  #6
  Apr 15, 2010
  Joined: Sep 8, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsanta sana kwa picha nzuri sana za ukumbusho
   
Loading...