Land Cruiser

Siku litakapopigwa mnada pale bandarini kwa wewe kushindwa kuligombowa usisahau kunipm.

Aliwezi kwama coz kila kitu analekebisha mtumaji, mimi nikwenda kulichukua na kuliingiza barabarani.
 
funguka kwanza ni model gani ya vx. kuna v8 petrol na V8 diesel kuna amazon inakula lita km 3 tu . kuna gx ya kawaida inakula lita km 8 specify engine na mwaka.

Kwa maelezo yake tu Land Cruiser VX si saiz yake. Zile zinakula mafuata. Bei ya taa tu unaweza kumvua mtu starlet. Kama hela zako ni za kawaida hasa uhakika wa kuwa liquid full time ni wa mashaka, chukua gari za size ya kati kama prado au RAV New Model( take care na D4 Engine).Au zaidi akuletee Harrier Four Cylinder( ziko za 6 Cylinder pia, hiyo usinunue).
 


Mkuu umenimaliza kimawazo! Post nzuri sana!
 
huyu jamaa atakuwa ni mhaya. vx pia lina choo na bafu ndani pia linatumia maji
 
mwambie anitumie mimi nilikague kwanza niko hapo mikocheni garage. kisha ntakupatia majibu. kadi na document zote muhimu usisahau kunipatia mimi. ziwe origanal
 
Mwambie akutumie ikifika uza nunua gari utakayoimudu chenji fanyia issue nyingine
 

Mkuu yeye anayekutumia anafahamu kipato chako? Au anataka kutuma ili utumietumie yeye akirudi linakuwa lake? Hii kitu pale bandarini mtalipa zaidi ya 10M, mafuta INAKULA sana tu! Kama unafanya kazi kwa mhindi kama ulivosema utagombana bure na mwajiri wako, utakosa kibarua bure! Mwambie atume hiyo gari, ikifika uza kisha fanya biashara na hiyo pesa. Ukitaka kubadlisha gari uza hiyo unayotumia agioza nyingine ndogo tu.
 
Mimi sifahamu ya mwaka gani wala kama ya mafuta gani ila ninachojua ni vx na sio amazon ila inafanana muundo.
Kaka si ndio umuulize, unataka msaada wakati huna information za kutosha. Hiyo kwako ni sawa na kuuziwa kitu ambacho hata yeye hawezi kukieleza ni nini
 

Akutumie engine y diesel inaitwa 1hdt ni 6cylinder unywaji wke kawaida tu kma prado ya 1kz.v8 ndio shida ila hiyo engine y 1hdt ndio nzuri hata vx oldmodel ndio engine yke
Nlitoka dar 2 arusha lita 89diesel usiogope bro
 

labda utuambie kipato chako maanake mwingine ukimwambia mafuta ya tsh 100,000 kwa siku anakwambia very cheap...
utani pembeni KITENDO CHAKO CHA KUULIZA HII GARI INATUMIA MAFUTA KIASI GANI KINAONYESHA HII GARI SIO SIZE YAKO.......HATA UKIPEWA BURE ITAKUENDESHA WEWE.....MTU ANAE-AFFORD,NARUDIA ANAE-AFFORD VX HAULIZI BEI YA MAFUTA.
 
mwambie akuletee then likisha fika uza nunua litakalokufaa....
 
Akutumie engine y diesel inaitwa 1hdt ni 6cylinder unywaji wke kawaida tu kma prado ya 1kz.v8 ndio shida ila hiyo engine y 1hdt ndio nzuri hata vx oldmodel ndio engine yke
Nlitoka dar 2 arusha lita 89diesel usiogope bro

Nakubaliana na wewe sana tu,nadhani ina FE mwisho maarufu wanaita VX /cruiser 100 haitishi kwa mafuta kabisa labda kwa spare hapo lazima ukohoe lakini pia Ilala wanakata sana Cruiser siku hizi so suala la Toyota/dealer sio lazima kihivyo sababu mafundi wapo na kwa sasa yanajulikana sana tuu so gharama ya utunzaji pia sio mzigo kiasi hicho kama unaitumia kuingiza kipato na sio kufuatia mademu! !!!!!! Kwa matumizi ukilinganisha power na comfort yake na ulaji wa mafuta bado ni reasonable kabisa ukilinganisha na 1Kz it be 75/95W

Experience inaniambia hapo suala la bima ndio waeza toka mbio na siku unapohitaji kuweka tyre zote maana hizi gari
nazo!!!!!!! Unless uipige macho kuvimba lakini pale kwa SSF/
Superdoll kazi ipo!!!!!!

Kingine ni kuwa inauzika fasta tu kama ina hali nzuri sio pasua kichwa kama Rover!!!!!!
 
Brother hilo gari chukua usitishwe na lolote cku hizo spear pia tunaagiza kama magari ulaya tu na vilevile kuna diagnosis tool c kama zamani mafundi kupiga nyundo tu hy gari ina status yake lakn ikikushinda you just sell it unanunua hata starlet 8 za lita 1 km 17
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…