Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,543
- 28,805
- Thread starter
- #61
AI Overview
+1
The 2025 BYD Leopard 5, which has a 2.0L engine, has a top speed of 180 km/h (112 mph). It can also accelerate from 0 to 100 km/h (0 to 62 mph) in 6.5 seconds.
Tatizo BYD haina speed
LC 300 kitu ina 260 km/hr
Usifanye mchezo na Landcruiser hasa LC 300, pia body ya BYD sio kabisa, kumbuka unauza gari pia kwa shape ya body, sasa BYD body ni kama Ponte iliyochangamka
Mbona Toyota Prado J250 wameiga body ya BYD leopard 5?
Kama ni body za magari BYD anazo kali huwezi kufananisha BYD Shark na Toyota Hilux
Hiyo speed ya 260km/hr utaitumia wapi? Mpango mzima kwenye chuma ni HP
Kama ni body za magari BYD anazo kali huwezi kufananisha BYD Shark na Toyota Hilux
Hiyo speed ya 260km/hr utaitumia wapi? Mpango mzima kwenye chuma ni HP