Land Cruiser VXR V8 yasalimu amri kwa BYD Leopard 5

Land Cruiser VXR V8 yasalimu amri kwa BYD Leopard 5

Huyu Mchina BYD Leopard 5 ana balaa lake alikuwa akishindanishwa na Toyota Land Cruiser VXR V8. Mjapan kanyoosha mikono juu.

Chuma inakuja na:-
​
  • Engine: 2.0L turbocharged, 4 P-E (hybrid-assisted)
  • P/Output: 680hp (199 kW) na 48V mild hybrid system​
  • Torque: App. 406 Nm​
  • Transmission: 8 speed automatic​
  • D/Train: 4WD ikiwa na Multiple OR drive modes.​

0 KM Price: USD 40,000/TSHS 107,000,000

Na hapo haujagusa toleo jipya la BYD Leopard 8 lenye 978HP na huku toleo jipya la Land Cruiser LC300 ina 415 HP

Kwa sasa Mchina ana dunia yake kwenye automobile industry.
​
Mchina anatisha
 
Kusema la haki sio kuwa nabeza lakini ukiangalia youtube kwa upande wetu
Utaona treni ya umeme ambayo sijui ikoje mpaka sasa

Na vichekesho vya kijinga wakiwemo kina kina Nanga mpaka wakichokonoa pua na kutoa tongo wakiwa live na kina mweusi basi

Angalia wenzetu hata UG na Kenya kuna mengi sana vijana wanafanya kama mifugo, kilimo na hata makampuni

Fursa kwa wabongo hawazioni bali kulalamika tu
Ukiongelea fursa wanakuambia mtaji baba
Ila bado sana kwa maendeleo bongo
Tuko nyuma mno kwa ukiritimba na kubaniana fursa pia kunachangia
Tanzania kuna fursa kubwa sana katika sekta ya kilimo, ila vijana hawaitaki kabisa wanataka white collar jobs ambazo nazo zimekuwa haba sana

Waache waendelee kubet tusishangae Wachina wakaanza kuingia kwenye kilimo large scale farming tukajikuta tunaenda kununua mpunga kwenye stores za Wachina

​
 
Mchina ameanza kuingia soko la Africa hapo South Africa kakichafua hatari

Mpaka wazungu BMW, Audi, Volvo, VW, Mercedes Benz, Ford wameanza kuona mauzo yakishuka kwa kasi. Volvo wamefunga dealerships

Wasouth wanapaa na Mchina ni mwendo wa Haval, Chery, GWM, BAIC

Mchina hapa Africa tulishamzoea kwenye trucks na coaches tu sasa hivi kashapiga hodi Africa na sedan, SUV na saloon
​
Safi sana hata bei zake ni reasonable, haya majina makubwa yanaachwa sasa
Kama anatengeneza quality kama wazungu wanavyojinasibu basi tuko na mchina
Hata mimi naona mchina atashika soko na wengi wata afford kununua za mchina zaidi
Tesla kwisha habari yake

Ulaya hata baiskeli za umeme za zimejaa sana na bei zilikuwa kubwa ila sasa zimeshuka hata za 1.4m ya bongo unapata na zinakimbia mpaka 25 miles kwa saa
Wanatumia sana Uber eat na delivaroo na just eat wote vijana wanatumia baiskeli za umeme kutuletea chakula

Magari na pikipiki hakuna tena ni mwendo wa mchina na baiskeli tu hakuna mafuta wala number plates wala insurance
 
Huyu Mchina BYD Leopard 5 ana balaa lake alikuwa akishindanishwa na Toyota Land Cruiser VXR V8. Mjapan kanyoosha mikono juu.

Chuma inakuja na:-
​
  • Engine: 2.0L turbocharged, 4 P-E (hybrid-assisted)
  • P/Output: 680hp (199 kW) na 48V mild hybrid system​
  • Torque: App. 406 Nm​
  • Transmission: 8 speed automatic​
  • D/Train: 4WD ikiwa na Multiple OR drive modes.​

0 KM Price: USD 40,000/TSHS 107,000,000

Na hapo haujagusa toleo jipya la BYD Leopard 8 lenye 978HP na huku toleo jipya la Land Cruiser LC300 ina 415 HP

Kwa sasa Mchina ana dunia yake kwenye automobile industry.
​
Hakuna gari linalotumia mafuta linaweza shindana mbio na gari linalotumia umeme. Hiyo hybrid bila shaka engine yake ya kuzalisha umeme gari inatembelea mota. Gari za tesla zinazidi mbio hadi gari za formula one.
Ila mchina kombe la kuunda magari analichukua soon kama alivyochukua mengine.
 
Mchina ameanza kuingia soko la Africa hapo South Africa kakichafua hatari

Mpaka wazungu BMW, Audi, Volvo, VW, Mercedes Benz, Ford wameanza kuona mauzo yakishuka kwa kasi. Volvo wamefunga dealerships

Wasouth wanapaa na Mchina ni mwendo wa Haval, Chery, GWM, BAIC

Mchina hapa Africa tulishamzoea kwenye trucks na coaches tu sasa hivi kashapiga hodi Africa na sedan, SUV na saloon
​
Shida ya mchona ni moja tu, DURABILITY!!
 
Tanzania kuna fursa kubwa sana katika sekta ya kilimo, ila vijana hawaitaki kabisa wanataka white collar jobs ambazo nazo zimekuwa haba sana

Waache waendelee kubet tusishangae Wachina wakaanza kuingia kwenye kilimo large scale farming tukajikuta tunaenda kununua mpunga kwenye store za Wachina

​
Naangalia mara kwa mara youtube wakulima na mifugo pamoja
Yaani Ukiona mpaka wanawake wamekuwa matajiri sana kwa ufugaji sio wanaume tu huko Uganda
Mtu anaamua kuwa na heka 100 au zaidi
Na amewekeza haswa
Wanaweka solar systems kwa kila kitu na unakuta wamewekeza haswa

Leo ukisema nakuja na uwekezaji natafuta mganga wa mifugo huwezi kuwapata wakati amesomea ila hataki kukaa shambani
. Hebu fikiria hilo
 
Shida ya mchona ni moja tu, DURABILITY!!
Tatizo watu mmekariri hivyo

Jiulize kwa nini Mchina kamzidi Tesla kwenye soko la Ulaya? Moja ya soko duniani ambalo linazingatia sana standards na safety

Kuna matoleo ya BYD yamepata hadi rating ya juu kabisa yaani 5 stars kwa ajili ya safety na kufikia European standards

Sio kukariri mkuu, sio enthusiast wa magari sana ila naona trucks na buses za kichina zinavyo-perform hapa bongo.
 
Naangalia mara kwa mara youtube wakulima na mifugo pamoja
Yaani Ukiona mpaka wanawake wamekuwa matajiri sana kwa ufugaji sio wanaume tu huko Uganda
Mtu anaamua kuwa na heka 100 au zaidi
Na amewekeza haswa
Tanzania ina ardhi kubwa sana inayofaa kwa kilimo na ufugaji lakini iko idle

Kuna mkufunzi mmoja wa kanisa la RC alikuja Tanzania kutoa elimu ya kilimo kwa vijana alishangaa sana kuona ardhi kubwa ya Tanzania haitumiki kwenye kilimo

Marekani, Urusi, Brazil ni mataifa makubwa duniani kiuchumi lakini mojawapo ya exports zao kubwa zinazowaingizia billions of dollars ni agricultural products na nyama za kuku, ng'ombe na pork

Hapa Tanzania kijana ukimshauri kilimo au ufugaji anakuona una mawazo ya kizee

Na bado Tz inaimport tani kwa tani ya mafuta ya kupikia, nyama, mchele kutoka nje
​
 
Leo ukisema nakuja na uwekezaji natafuta mganga wa mifugo huwezi kuwapata wakati amesomea ila hataki kukaa shambani
. Hebu fikiria hilo
Kijana kasoma SUA lakini hana passion na alichosomea iwe ni kilimo au ufugaji anataka akae ofisini

Hii ni hasara kwa taifa na wamenunuliwa na pikipiki kabisa wawafikie wakulima huko mashambani

Wao wanagawana tu pesa za mafuta na TOs wa halmashauri
​
 
Safi sana hata bei zake ni reasonable, haya majina makubwa yanaachwa sasa
Kama anatengeneza quality kama wazungu wanavyojinasibu basi tuko na mchina
Hata mimi naona mchina atashika soko na wengi wata afford kununua za mchina zaidi
Tesla kwisha habari yake
Kwa sasa China imekuwa na supply chain ya hali ya juu na high tech katika EV

Hata kampuni kubwa za Ulaya kama Mercedes Benz, BMW, VW, Stellantis wameanza kuwa na partnership na Chinese firms na suplliers ili wa access Chinese technologies kwenye EVs

Dunia inaenda kwa kasi sana leo Ulaya wanaomba joint venture na Mchina kwenye kuunda magari ya umeme
​
 
Ulaya hata baiskeli za umeme za zimejaa sana na bei zilikuwa kubwa ila sasa zimeshuka hata za 1.4m ya bongo unapata na zinakimbia mpaka 25 miles kwa saa
Wanatumia sana Uber eat na delivaroo na just eat wote vijana wanatumia baiskeli za umeme kutuletea chakula

Magari na pikipiki hakuna tena ni mwendo wa mchina na baiskeli tu hakuna mafuta wala number plates wala insurance
High quality at a reasonable price​
 
Back
Top Bottom