Waungwana gari aina ya land cruiser hard top 1HZ inauzwa bei sawa sawa buree Ipo kwenye hali nzuri, nyeupe, inatumia leave spring mbele, low kilometer Na full ac. Mwenye nia apige au atume ujumbe kwenda namba +255756450201. Bei ni million 23 Na maelewano yapo pia.