Ntolonyonyo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,231
- 2,361
Suala la Ardhi ni suala pana sana na mtambuka, ni suala linalogusa kila mtu kwa sababu kwa namna moja kila mtu anamahusiano na Ardhi ya moja kwa moja au kupitia ndugu, jamaa na marafiki.
Pia tunapozungumzia Ardhi..hatumaanishi tu huu udongo tunaouona, hapana...neno Ardhi linabeba vitu vingine mfano Majengo na vitu ambavyo vimeshikamana moja kwa moja na Ardhi mfano minara n.k.
Hivyo kampuni yetu ya GAGNER REALTY LIMITED imejikita katika utoaji wa ushauri wa kitaalamu kuhusu Ardhi katika nyanja nyingi:
1. USIMAMIZI WA MAJENGO (PropertyManagement)
Kwa wale wenye nyumba au majengo ya kupangisha bila shaka wanajua tabu wanayopata kwenye kusimamia majengo haya..hii inahusisha kusimamia suala zima la wapangaji na ukarabati wa jengo.
2. UHAKIKI WA ENEO AU NYUMBA KABLA YA MANUNUZI (DUE DILLIGENCE BEFORE PURCHASE)
Ununuzi wa bidhaa za Ardhi kama nyumba na maeneo si kitu cha kukurupukia kwani huweza kusababisha usumbufu au matatizo makubwa, ni vizuri kabla hujanunua upate taarifa sahihi na historia husika ndipo ufanye maamuzi ya kununua au kutokununua
3. UFUATILIAJI UMILIKI KATIKA MAMLAKA HUSIKA
Bila shaka watu wengi hawana muda wa kutosha kufuatilia masuala ya Hati (Mpya kabisa, renewal n.k) Na masuala mengine binafsi yahusianayo na Ardhi, ni vizuri ukapata watu wenye taaluma ya kutosha na weredi kusimamia kazi zako
4. KUHAKIKI NA KUJUA HALI YA KIWANJA
Inatokea mtu hajui labda matumizi sahihi ya eneo lake, hajui kama eneo analoishi limepimwa au halijapimwa na afanye jitihada gani kurekebisha au kupata ufumbuzi.
5. UFUATILIAJI WA KODI ZA ARDHI
Watu pia huwa hawana muda au hawatilii maanani sana ufuatiliaji na ulipaji wa kodi za ardhi ( Land Rent & Property tax). Hivo ni vizuri kupata watu ambao watakusaidia na kukufuata ulipo na kukusaidia kupata assessment stahiki kutoka mamlaka za kiserikali pamoja na kukumbusha mara kwa mara ili kuepusha kuchelewa kulipa au kutokulipa kabisa.
6. TRAINING MBALIMBALI ZIHUSUZO ARDHI
Pia kwa landlords ni vizuri kuongeza uelewa wa watu wetu katika usimamizi wa majengo na Ardhi, hivyo tunafundisha na kuongeza ujuzi kwa wasimamizi wa majengo..ili kuwafunza njia mbalimbali za uhifadhi wa kumbukumbu, namna ya makusanyo ya kodi, utaratibu wa kufanya matengenezo ili jengo liendelee kubutia wateja na liwe na thamani.
Pia kwa taasisi au mtu mmoja mmoja tunatoa ushauri au training kuhusu masuala mazima ta ardhi mfano kuhusu umilikishaji, ufanyaji wa transfer, utaratibu wa upimaji n.k.
Karibuni sana kwa huduma mbalimbali hata ambazo hazikutajwa hapo juu.