Lamine Yamal ametaja kikosi chake bora cha muda wote Messi, Neymar na Ronaldo wamo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
wakuu
=====

huyu Yamal kweli ni bwana mdogo amemsahu hata pele???

Nyota chipukizi wa FC Barcelona, Lamine Yamal, ameibua mjadala mzito mitandaoni baada ya kutangaza kikosi chake cha ndoto (all-time XI), kikosi ambacho kimejaa mastaa waliotawala enzi za tiki-taka na mafanikio makubwa ya klabu hiyo ya Katalunya.

Kikosi hicho kimezua mjadala mkubwa mitandaoni, mashabiki wengine wakishangaa kuona nyota kama Eto’o akikosekana.

kwa mujibu wa chapisho la mtandao maarufu wa soka 433, kinda wa fc barcelona na timu ya taifa ya uhispania, lamine yamal, ametaja kikosi chake cha ndoto cha wachezaji bora kuwahi kutokea kwenye historia ya soka, na majina yaliyochomoza yamewasha moto mkubwa mitandaoni!

lamine yamal, mwenye umri wa miaka 17 pekee, ameonesha upendo wake mkubwa kwa mastaa waliowahi kutamba barcelona na real madrid – jambo lililozua mjadala mkali miongoni mwa mashabiki.

kikosi chake ni kama ifuatavyo (formation 3-4-3):

🧤 golikipa: iker casillas (hispania / real madrid)

🛡 walinzi: marcelo (brazil / real madrid) sergio ramos (hispania / real madrid / psg) gerard piqué (hispania / barcelona) dani alves (brazil / barcelona)

⚙️ kiungo:

zinedine zidane (u faransa / juventus / real madrid

neymar jr (brazil / barcelona / psg / al-hilal)

lionel messi (argentina / barcelona / psg / inter miami)

⚡️ washambuliaji:

cristiano ronaldo (portugal / man utd / madrid / juve / al-nassr)

ronaldo nazário (brazil / barcelona / inter / madrid)

ronaldinho (brazil / barcelona / milan)

wengi wamepongeza uchaguzi huu, wakiuita "timeless", huku wengine wakikosoa kutokuwepo kwa mastaa kama pele, maradona, xavi au iniesta.
yamal.jpg

1753179664719.jpeg
 
Team aina balance kapanga kwa mapenzi
Maana sioni kiungo mkabaji hapo katikati team itakuwa inashambulia muda wote???
Nani kakwambia kila team inahitaji kiungo mkabaji? Nani kakwambia kila mfumo unahitaji kiungo mkabaji? Barcelona ya Pep haikua na kiungo mkabaji. Busquet sio defensive midfielder, kuna aina 3 za namba 6 ktk mpira wa kisasa.

Kuna defensive midfielder huyu ni namba 6 kazi yake ni kukaba tu.

Kuna holding midfielder huyunj namba 6 majukum yake uwanjan kuichezesha team kutokea na kusaidia kukaba.

Kuna deep lying playmaker huyu ni namba 6 majukum yake uwanjan ni kuisukuma team iende mbele, yaan yeye team inapokua na mpira nyuma ni kuisukuma team iende mbele zaid kwa pasi fupi au ndefu au kukota kikubwa ni kuifanya team isogee juu. Mfano wa deep lying playmaker ni vitinha wa PSG. Yule no namba 6 hata ktk mfumo 4 3 3 wa psg wa yeye anakua peke yake pale mbele ya mabeki. Je vitinha ni mkabaji kama unavotaka hapa? Au mfano pirlo ni namba 6 je pirlo ni mvunja kuni? Busquet pia sio kiungo mkabaj ulijue hilo.
 
Sasa Kwa waliotajwa hapo Pele atacheza wapi !?

Mimi nimetizama sana video za Pele maradona garincha na za Messi ukweli ni kwamba wale Jamaa Mpira walikuwa wanacheza kweli ktk era Yao lakini Mpira wao ulikuwa na mapungufu mengi ikiwepo uhaba wa speed kama huyo garincha ukimtazama ndio utacheka kabisa speed ndogo mnoo Mpira hauna Kasi , Kuna mchezaji kama requelme yule Jamaa uwezo wake ulikuwa ni kariba ya hao kina Messi cristiano Ronaldinho Neymar and mpaka Leo nashangaa why hakuwa kuwa star mkubwa alikuwa underrated
 
Nani kakwambia kila team inahitaji kiungo mkabaji? Nani kakwambia kila mfumo unahitaji kiungo mkabaji? Barcelona ya Pep haikua na kiungo mkabaji. Busquet sio defensive midfielder, kuna aina 3 za namba 6 ktk mpira wa kisasa.

Kuna defensive midfielder huyu ni namba 6 kazi yake ni kukaba tu.

Kuna holding midfielder huyunj namba 6 majukum yake uwanjan kuichezesha team kutokea na kusaidia kukaba.

Kuna deep lying playmaker huyu ni namba 6 majukum yake uwanjan ni kuisukuma team iende mbele, yaan yeye team inapokua na mpira nyuma ni kuisukuma team iende mbele zaid kwa pasi fupi au ndefu au kukota kikubwa ni kuifanya team isogee juu. Mfano wa deep lying playmaker ni vitinha wa PSG. Yule no namba 6 hata ktk mfumo 4 3 3 wa psg wa yeye anakua peke yake pale mbele ya mabeki. Je vitinha ni mkabaji kama unavotaka hapa? Au mfano pirlo ni namba 6 je pirlo ni mvunja kuni? Busquet pia sio kiungo mkabaj ulijue hilo.
Mkuu tukupe Simba msimu huu 😂
 
Umeongea maneno meeengi lkn hujajibu hoja
Nani kakwambia kila team inahitaji kiungo mkabaji? Nani kakwambia kila mfumo unahitaji kiungo mkabaji? Barcelona ya Pep haikua na kiungo mkabaji. Busquet sio defensive midfielder, kuna aina 3 za namba 6 ktk mpira wa kisasa.

Kuna defensive midfielder huyu ni namba 6 kazi yake ni kukaba tu.

Kuna holding midfielder huyunj namba 6 majukum yake uwanjan kuichezesha team kutokea na kusaidia kukaba.

Kuna deep lying playmaker huyu ni namba 6 majukum yake uwanjan ni kuisukuma team iende mbele, yaan yeye team inapokua na mpira nyuma ni kuisukuma team iende mbele zaid kwa pasi fupi au ndefu au kukota kikubwa ni kuifanya team isogee juu. Mfano wa deep lying playmaker ni vitinha wa PSG. Yule no namba 6 hata ktk mfumo 4 3 3 wa psg wa yeye anakua peke yake pale mbele ya mabeki. Je vitinha ni mkabaji kama unavotaka hapa? Au mfano pirlo ni namba 6 je pirlo ni mvunja kuni? Busquet pia sio kiungo mkabaj ulijue hilo.o
 
wakuu
=====

huyu Yamal kweli ni bwana mdogo amemsahu hata pele???

Nyota chipukizi wa FC Barcelona, Lamine Yamal, ameibua mjadala mzito mitandaoni baada ya kutangaza kikosi chake cha ndoto (all-time XI), kikosi ambacho kimejaa mastaa waliotawala enzi za tiki-taka na mafanikio makubwa ya klabu hiyo ya Katalunya.

Kikosi hicho kimezua mjadala mkubwa mitandaoni, mashabiki wengine wakishangaa kuona nyota kama Eto’o akikosekana.

kwa mujibu wa chapisho la mtandao maarufu wa soka 433, kinda wa fc barcelona na timu ya taifa ya uhispania, lamine yamal, ametaja kikosi chake cha ndoto cha wachezaji bora kuwahi kutokea kwenye historia ya soka, na majina yaliyochomoza yamewasha moto mkubwa mitandaoni!

lamine yamal, mwenye umri wa miaka 17 pekee, ameonesha upendo wake mkubwa kwa mastaa waliowahi kutamba barcelona na real madrid – jambo lililozua mjadala mkali miongoni mwa mashabiki.

kikosi chake ni kama ifuatavyo (formation 3-4-3):

🧤 golikipa: iker casillas (hispania / real madrid)

🛡 walinzi: marcelo (brazil / real madrid) sergio ramos (hispania / real madrid / psg) gerard piqué (hispania / barcelona) dani alves (brazil / barcelona)

⚙️ kiungo:

zinedine zidane (u faransa / juventus / real madrid

neymar jr (brazil / barcelona / psg / al-hilal)

lionel messi (argentina / barcelona / psg / inter miami)

⚡️ washambuliaji:

cristiano ronaldo (portugal / man utd / madrid / juve / al-nassr)

ronaldo nazário (brazil / barcelona / inter / madrid)

ronaldinho (brazil / barcelona / milan)

wengi wamepongeza uchaguzi huu, wakiuita "timeless", huku wengine wakikosoa kutokuwepo kwa mastaa kama pele, maradona, xavi au iniesta.
Unaweza kuwa na kikosi kama hicho UEFA usipate pia
 
Kikosi changu cha muda wote DAVID MOLLINGA, SAWA DOGO, SAPONG lazima wawepo. Kila mtu na mtazamo wake bana!!
 
Kikosi cha nadharia, midfielders hakuna chemistry
 
Daah zamani WATU walifaidi SANA kucheki SOKA SIKU HIZI tunakomaa na wakina Maguire

Kwishaaaa

Bro Alex ona da beats yoow
 
Watu bana....sasa hiki ni kikosi chake...ni maoni yake....halafu wanataka wampqngie.....kila mtu anaona anavyoona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom