mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
sio kweli kuna gari ya watalii imeibiwa betri katika guest ya mchele askari ndo wanaendesha msako, uchaguzi unaendelea poa tu mie nipo hapa tangu juzi nimeleta watalii pale nyatwali lorge.
Baada ya uchaguzi kuahirishwa, jana na leo ni kamata kamata kwa wafuasi wa Chadema kwa agizo la Mh kamani.... Kumbukeni nyadhifa zetu tumewaazima sio za kudumu
Tukutane 2015
Baada ya uchaguzi kuahirishwa, jana na leo ni kamata kamata kwa wafuasi wa Chadema kwa agizo la Mh kamani.... Kumbukeni nyadhifa zetu tumewaazima sio za kudumu
Tukutane 2015
wakiwafanyizia ninyi wafanyizieni watu wa ......... si mnawajua?
nyie machalii acheni uoga
njoo uanze wewe kufanyizia shinzi zako, yaani tuibiwe mafuta na betri kwenye magari tunyamaze tu sio?
sio kweli kuna gari ya watalii imeibiwa betri katika guest ya mchele askari ndo wanaendesha msako, uchaguzi unaendelea poa tu mie nipo hapa tangu juzi nimeleta watalii pale nyatwali lorge.
Wameshindwa kukamata wezi wakubwa wanakimbilaza na wezi wa betry kwani hiyo betry imeibwa na watu wote?iko siku itafika tutatunisha misuli kama kule Soweto ndio mtajua wananchi wanajua haki zao.
Mkikaa kisenge lazima muibiwe mbona escrow zeibiwa na hakuna anaeongea???
Yaani betri ndio mpaka iwe gumzo, huo msako unafanyikaje??!!!sio kweli kuna gari ya watalii imeibiwa betri katika guest ya mchele askari ndo wanaendesha msako, uchaguzi unaendelea poa tu mie nipo hapa tangu juzi nimeleta watalii pale nyatwali lorge.
natukikumata police wakichelewa kidogo wanakukuta majivu
Maelezo yako yana viashiria vyote kuwa mmetoa rushwa na ndio inasukuma hiki kiburi chako hapa!!!