Elections 2010 Lala salama Igunga: Mgombea wa CUF azipiga kavukavu na wanavijiji

kudadadadeki.........wamekata umeme.

sasa nasikiliza redio kupitia simu.

kupata habari ni haki yangu ya msingi.

mapambano yanaendelea.
 
Huyu mke wa CCM (CUF)anafujo!! mmewe amemchosha nini? anajikomba kwa chama DUME (CDM) wameanza kuvaa combat. mmh
 
hayo cccb ni kawaida yaho kuzichapa hata hapa musoma 2010 mgombea wao wa umbunge alishuka jukwaani akazichapa kwa hiyo sishangai.
 
Najaribu kuvuta sura za watu ambao nawajua ni majambazi na kuzilinganisha na ya huyu jamaa, lol... napata wakati mgumu kutofautisha!
 
Mungu ni mkubwa! Ametuonesha tabia halisi ya huyu jamaa siku ya mwisho!!!!
 
Back
Top Bottom