Lala mbavu zikiuma:

King Jr

Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
47
Reaction score
8
[h=5]Mtanzania, mkenya na Mganda walikamatwa na Bangi China. Wakapewa adhabu ya kwenda msituni na kurudi na matunda kumi. Mganda akarudi na ma-apple akaambiwa ameze mojamoja bila kutikisika..la kwanza tu akafumba macho. Wakamwua. Mkenya akarudi na Zambarau. Akawa anameza moja moja had la tisa akaangua kicheko akapgwa risasi. Wakiwa kuzimu Mganda kamuliza Mkenya. Mbona ulicheka wakat karibu unamaliza. Mkenya akajibu. Nilimwona Mtanzania anakuja na Matikiti maji! Done.[/h]
 
Wangejiuliza pia "mbona mtanzania hajafika huko kuzimu.?
 
Ubaya wa copy, paste and edit yaani ndo kaharibu kabisa hata sicheki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…