Lake Oil ageuza karakana kuu ya TAZARA kuwa bandari kavu (ICD) ya kuhifadhia makontena

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni,

Ile karakana ya TAZARA iliyo barabara ya Nyerere, barabara ambayo viongozi wakuu wa nchi wanapita.

Cha kustaajabisha kampuni ya Lake Oil imefungua bandari kavu na wakati wowote inaanza kazi na majengo yaliyokuwa ofisi za karakana kuu ya kuchonga vyuma na vipuri mbalimbali, kazibadilisha na kuwa ofisi za ICD yake.

Thanks God
 
Hii lake Oil imechukua maeneo mengi ti TAZARA, pita pale panaitwa TAZARA GOODSHED kapachukua, nyuma kule panapoingilia Treni za Abiria napo kachukua na kuna ushahidi pia kuwa jamaa aliechukua nyumba za TAZARA za vertinary nae ni mmoja wa washilika wa Lake Oil yaani ni marafiki wakubwa,, hii ichungizwe kuna wizi wa kutisha sana pale, jamaa anaitwa Farid ana uhusiano na mmiliki wa Lakegroup
 
Tafadhali mpigieni simu Mh. Rais kuhusu hili. Waombeni clouds wanayo number yake. Mwisho tutasikia Treni yote ya TZR wamechukua. Fanyeni faster,.......
 
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni,

Ile karakana ya TAZARA iliyo barabara ya Nyerere, barabara ambayo viongozi wakuu wa nchi wanapita.

Cha kustaajabisha kampuni ya Lake Oil imefungua bandari kavu na wakati wowote inaanza kazi na majengo yaliyokuwa ofisi za karakana kuu ya kuchonga vyuma na vipuri mbalimbali, kazibadilisha na kuwa ofisi za ICD yake.

Thanks God
sawa ila zambia nao wapewe posho ya mauzo ya hiyo karakana , kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba ni vigumu sana kushirikiana na Tanzania kama lengo lako ni maendeleo , bali ni rahisi sana kushirikiana na nchi hii kama umelenga upigaji .
 
Hii lake Oil imechukua maeneo mengi ti TAZARA, pita pale panaitwa TAZARA GOODSHED kapachukua, nyuma kule panapoingilia Treni za Abiria napo kachukua na kuna ushahidi pia kuwa jamaa aliechukua nyumba za TAZARA za vertinary nae ni mmoja wa washilika wa Lake Oil yaani ni marafiki wakubwa,, hii ichungizwe kuna wizi wa kutisha sana pale, jamaa anaitwa Farid ana uhusiano na mmiliki wa Lakegroup
Hii kampuni inajulikana mmiliki wake ni rais mstaafu na mwanae RiZ1, hapo mtaanzia wapi, hata JPM hawezi kwani ni mali ya mwenyekiti wake
 
Hii lake Oil imechukua maeneo mengi ti TAZARA, pita pale panaitwa TAZARA GOODSHED kapachukua, nyuma kule panapoingilia Treni za Abiria napo kachukua na kuna ushahidi pia kuwa jamaa aliechukua nyumba za TAZARA za vertinary nae ni mmoja wa washilika wa Lake Oil yaani ni marafiki wakubwa,, hii ichungizwe kuna wizi wa kutisha sana pale, jamaa anaitwa Farid ana uhusiano na mmiliki wa Lakegroup
hebu teweke sawa lake oil wamechukua au wameuziwa?
 
Back
Top Bottom