kbosho JF-Expert Member Jun 4, 2012 13,031 6,569 Feb 15, 2017 #5 lingekuwa Bongo kwa Awamu Hii lingepelekwa Selo
Ebe JF-Expert Member Apr 18, 2013 810 969 Feb 15, 2017 #6 Hili jina refu kama treni Hebu tuwekee sauti tusikie jinsi linavyotamkwa
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,119 24,658 Feb 15, 2017 #7 Hilo jina zuri sana kutumika kama id hapa jf!
Charles Gerald JF-Expert Member Mar 31, 2016 1,397 1,828 Feb 15, 2017 #9 aisee, nimelipenda hilo jina.
babalao 2 JF-Expert Member Apr 6, 2012 5,423 3,298 Feb 15, 2017 #10 Duuu isije kuwa ni lango la kuzimu
babalao 2 JF-Expert Member Apr 6, 2012 5,423 3,298 Feb 15, 2017 #11 Hata dawa za mzizimkavu hazijafikia jina hilo
lipingangogolo Senior Member Dec 28, 2016 123 75 Feb 15, 2017 #13 Du!!!! Hilo jina unaweza pigwa pop la ulimi aisee
milioni milioni JF-Expert Member Mar 25, 2013 1,845 1,063 Feb 16, 2017 #15 Kama Ni Dawa Ya Ukimwi Ina Jina Hilo Lazima Itibu Tu.
Idimi JF-Expert Member Mar 18, 2007 15,326 11,174 Feb 16, 2017 #16 kbosho said: lingekuwa Bongo kwa Awamu Hii lingepelekwa Selo Click to expand... hahahah. Hetu weka audio ya matamshi ya hilo jina la ziwa kwanza kabla hujaswekwa selo (cell).
kbosho said: lingekuwa Bongo kwa Awamu Hii lingepelekwa Selo Click to expand... hahahah. Hetu weka audio ya matamshi ya hilo jina la ziwa kwanza kabla hujaswekwa selo (cell).
siwila m Member Nov 23, 2016 60 38 Feb 16, 2017 #17 Yaani hilo jina ukimaliza kulitaja inabidi ukalazwe wodi la wagonjwa mahututi!!!!
M MNANSO JF-Expert Member Jul 18, 2015 1,980 1,457 Feb 16, 2017 #19 kwenye mtihani lazima watoto wafeli
M MNANSO JF-Expert Member Jul 18, 2015 1,980 1,457 Feb 16, 2017 #20 nadhani watakua wanakatiza kua river chargogga