Mirlz B Matthew JF-Expert Member Joined Oct 10, 2011 Posts 2,216 Reaction score 3,117 Jan 28, 2022 #21 Usimfananishe na uyo kiande anayecopy beat za watu daily!!! Battle labda S2Kizzy Vs Abba na hata hii battle Nampa Abba....Abba anajua sana Ila sisi wabongo masikio yetu ni magumu kuelewa!!
Usimfananishe na uyo kiande anayecopy beat za watu daily!!! Battle labda S2Kizzy Vs Abba na hata hii battle Nampa Abba....Abba anajua sana Ila sisi wabongo masikio yetu ni magumu kuelewa!!
Navani JF-Expert Member Joined Jul 10, 2026 Posts 247 Reaction score 375 Jul 21, 2026 #22 Raymanu KE said: Hvi unadhani Kati ya hawa maproducer wawili Laizer na Abbah Ni Nani ndo mkali wa kutengeneza beats? Binafsi mi namkubali Abbah Process, huyu mwamba Ni hatari Sana yaani midundo yake Ni noma kupitiliza Click to expand... Abbah yuko vizuri mkuu.
Raymanu KE said: Hvi unadhani Kati ya hawa maproducer wawili Laizer na Abbah Ni Nani ndo mkali wa kutengeneza beats? Binafsi mi namkubali Abbah Process, huyu mwamba Ni hatari Sana yaani midundo yake Ni noma kupitiliza Click to expand... Abbah yuko vizuri mkuu.
Navani JF-Expert Member Joined Jul 10, 2026 Posts 247 Reaction score 375 Jul 21, 2026 #23 Mirlz B Matthew said: Usimfananishe na uyo kiande anayecopy beat za watu daily!!! Battle labda S2Kizzy Vs Abba na hata hii battle Nampa Abba....Abba anajua sana Ila sisi wabongo masikio yetu ni magumu kuelewa!! Click to expand... Kweli mkuu ata sasa bado abbah yuko vizuri kuliko s2kizz kinacho mbeba s2kizy nikufanya kolabo na wasanii wakubwa.
Mirlz B Matthew said: Usimfananishe na uyo kiande anayecopy beat za watu daily!!! Battle labda S2Kizzy Vs Abba na hata hii battle Nampa Abba....Abba anajua sana Ila sisi wabongo masikio yetu ni magumu kuelewa!! Click to expand... Kweli mkuu ata sasa bado abbah yuko vizuri kuliko s2kizz kinacho mbeba s2kizy nikufanya kolabo na wasanii wakubwa.