Laiti tungejua Yanga haitabeba Kombe ilipaswa Ndege mpya ya Mizigo iwapitie Algeria

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Wadau nimesikitika sana kitendo cha Ndege ya mizigo iliyopokelewa jana kuja nchini bila mizigo wowote.

Laiti kama Tungejua mapema kuwa Yanga hawatabeba Kombe ilitakiwa Warudi kwa kupanda ndege yetu ya mizigo tena kwa Kuwapitia Algeria wabebwe kama Mizigo.

Kitendo cha kurudi na ndege iliyowapeleka ili hali wameshindwa kutwaa kombe na kuambulia medali ni kuchezea ndege ya abiria wao walistahiri kurudi kwa ndege yetu mpya ya mizigo kwani wamekuwa Mzigo.
 
Back
Top Bottom