Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
najivunia sana tena sana. Swali langu kwanini unifuate wakati hujafanya maamuzi sahihi. Jipime nipime ndio unifuate na sio kufanya maamuzi ya harakaharaka kunifuata
assessments zinafanywa kwa wote but nachotaka ni usinifuate kama bado hujanifanyia assessments
kwahiyo ukishamaliza mambo yako unamwacha kwa kumuumiza binti wa watu?
Binti anaumiaje wakati utamu mmepata wote???
safi, umempa ukweli!Hamtaacha kumegwa maana huwezi kumjua nani ni nani... Ukimkataa huyu eti kisa hajafanya assessment anaenda kumsimulia mwenzake, nae anakuja kwa gia ya assessment za kutosha... Kwisha habari yako
hata wanawake tunayo mengi tunayoyakosea na kusababisha maumivu kwa wakaka but today ni hayo tuu kwa kaka zetu. Msikurupuke kisa umeona shape. Itakucost one day kama ndo mtu wa kutamani tuu
My darlin MNANSO, siku zote kwenye maisha jifunze kusimama kwenye sehemu yako. This 50/50 myth will never make things better for you, Iwe kwenye dating au marriage. Learn to give your all kwa kile ulichonacho. .. of coz bila kuangalia mwenzako ana contribution kiasi gani, just keep it 100% . It begins with you
Unahitaji mchumba just omba kadri uwezavyo. Kwa sababu hujui huyo mchumba wako yupo wapi na hujui kama anaomba au vipi. The poor idiot might be stuck somewhere na ni maombi yako tu ndo yatakayomkurupusha huko aliko. But ukilegea na maombi, basi mchumba ataendelea kustuck tu huko huko alipo. Na kwa maombi yako basi hata akija mtu ambaye si sahihi kwako, itakuwa rahisi kumgundua
Kukukumbushia tu, mke ndiye anayebeba kusudi la mume wake. Just give your all ili mume wako atimize kusudi ambalo Mungu ameliweka ndani yake. Ndoa/Mahusiano ambayo mwanamke amesimama, mengi yanafanikiwa. Beba mzigo kwa ajili ya uchumba/ndoa yenu na utaona Mungu atakavyojidhihirisha kwenu
Tatizo nyie hamuelewi,hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja,pia mwanaume anaweza kupenda wanawake wengi kwa wakati mmoja.Refer Nabii Solomon,Daud tatizo nyie wa siku hizi mnataka upendwe peke yako tuuHabari zenu wakuu,
Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.
Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.
Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.
Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.
Please badilikeni kaka zangu
na nitawafundisha watoto wangu wa kiume wasiwe na tabia mbaya ya kukurupuka na kuumiza mabinti za watu