Laiti mke ama mumeo angeona maisha unayoishi ofisini leo ungekuwa na ndoa bado?

Gaga; Mbona mie nina sweet wangu ofisini ila hatujifungii, nafikiri ni watu na watu, utani maofisini unafanya kazi inakuwa rahisi sana
ni kawaida sana, ila tu kama watu wataamua kwenda mbali na huo utani, na kumbuka watanianao huwa hawana interest ya mapenzi
unaemtamani au kumpenda huwa unakuwa nae mbali, au kuona aibu kuongea mbele yake


Gaga,
Huo utani unaweza kuufanya akiwepo mumeo? Ungejisikiaje kama ukisikia mumeo anataniana na mfanyakazi mwenzake wa kike (sweetie, honey, darling, etc) na akakwambia ni matani tu ya kurahisisha kazi, ungemwelewa?

Kama ni ndiyo, is good for you.
 
yani utani unasaidia sana hasa kwa wale wanaopenda utani then wana wenza wasiopenda utani
 
Ni upeo mdogo tu watu kama kuambiwa umependeza,mzuri n.k. Jambo zuri ni kujiuliza wewe unayelalamika umeshawahi mwambia hivyo mpenzio? Matendo ktk mapenzi ni two way sio kutendewa nawe utende. But,most married women in offices it's just lunch you can have their service. I am just writing what i've observed!
 
kusema kweli ofisini kunaokoa jahazi sana, unaweza ukawa umekasirika sana hadi
unatamani kukuche uende ofisini, ukifika tu mautani, unacheka mpak jioni ushasahau
machungu...utani ofisini ni kawida sana,

shantel utani wanashika nyonyo akidai mtani wake??loh aku uko mmwaya nakimbia unajua hata wale wanaaume wanaoenda kuzini na wanawake kinyume na maumbile wanaenda na shetan mpaka mlangoni akifungua mlango nakwamabia shetan anageuka na kusema aku malizia mwenye sasa kuna dhambi ukiona adi shetan anazikimbia inabidi tuwe makini kulinda ndoa zetu
 
kuna jamaa mmoja wa magomeni aitwa SINGLE mtanashati sana anapenda sana kuwabokoa wanaume wenzao kuna jamaa mmoja wa DT DOBIE anamfumua huwaa nikimwona namuuliza hivi kale kamchezo chako kachafu ushaacha anadai unajua sijui bana shetan anantoka alafu ananirudia nikamwambia katika dhambi kubwa anayoikimbia shetani ni ufiraji sasa kwa taarifa ukiingia kufanya hako kauchafu hata shetani anakuwa ayupo kakukimbia huoni aibu??....nahisi atabadilika ni mtumzima najipendda sana sana ukimwona mjini utadhan malaika malaria sugu kumbe we!!@@@
 
Kumuita mke/mume wa mtu mwingine au mtu yeyote asiye mchumba wako honey, cwty, mme/mke wangu, baby, my love, na majina yafananayo na hayo, haifai kabisa. Huo usemi kuwa 'inasaidia na ni kawaida' haufai... Kuna wachawi kwao ni 'kawaida' kuwanga, kuna wezi kwao ni 'kawaida' kuiba. Kama kuna tatizo home watu watafute suluhu siyo kujidanganya kuwa suluhu iko ofisini. Na mimi naona hii siyo kwa wanandoa tu bali ni kwa wote hata wasio ndani ya ndoa. Mtu ambaye hajiheshimu kabla ya ndoa ana uwezekano mkubwa wa kutojiheshimu ndani ya ndoa.sababu haoni ubaya wa hayo mambo...si kwake ni 'kawaida?' Na ushahidi ni hizo sarakasi zilizo kwenye ndoa za sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom