Habar wana jf me nina shida na laini za voda za chuo.... Zile ambazo unaweza kupata ile ofa ya cheka University offer kwa 1500 kwa wiki unapewa 1GB USKU na 1 GB MCHANA
Maana juzi nimeenda kwa wakala nimemwambia nataka laini za voda chuo akanisajiria zile za kupata 1GB kwa 2000 kwa wiki
SHUKRANII