Ipo mkuu, ni line maalum inaitwa Corporate kama sijakosea ila kwa sasa hazitolewi tena labda anunue kwa mtu.
Kwasasa kuna line inaitwa Bussiness hiyo ukisajili ili uwe na uwezo wa kuanza kushare utapaswa uitumie kwa miezi mitatu kwanza ndo utapewa menu ya kushare. Ila ndani ya miezi hiyo mitatu utaweza kununua bundle za kutumia we mwenyewe na ni nafuu mno.