si ununue line uende ukajiregiste mwenyewe. Its just matter of 5 minute
ahahhaaaaaaaa hii kali ya mwaka mkuu hujamuelewa jamaa anataka ile ya uwakala sio za customer mkuu
jamani yeyote mwenye laini ya tigo pesa,anipm tufanye biashara,naihitaji saaana.
piga namba 0652131653 atakuunganisha na mtu mwenye line ya tigo pesanitakuunganisha na mtu nikiishachukuwa namba yake kesho mungu akijalia