LAINI YA M~PESA NA TIGO PESA

babsaalum

New Member
Jun 5, 2017
1
0
Mambo wana jf naombeni kujua biashara ya hiyo kitu,kuanzia mtaji ,faida,hasara,changamoto.
Msaada wajameni
 
Mambo wana jf naombeni kujua biashara ya hiyo kitu,kuanzia mtaji ,faida,hasara,changamoto.
Msaada wajameni
Faida utapata kubwa zaidi kama eneo unapoweka biashara yako wateja ni wengi .wanatoa na kuweka.
Ila mdau ukiitaji laini Tigo pesa na m pesa nichek pm chap kwa bei nzuri
 
Back
Top Bottom