Lagos to New York by Kenya Airways.

And Kenya is the biggest exporter of milk. Why? Yaani mna ng'ombe wengi waliokondeana ndio maana wanatoa maziwa kidogo. Feed your cattle men!!
We siumeenda shule,ng'ombe nyingi za Tz hufugwa kienyeji target kubwa ni kuuza kwa ajili ya kitoweo,wafugaji wengi huuza maziwa tu kulainisha ugumu wa maisha

Zile breed za kutoa maziwa haswaa sio nyingi ambazo ndio wafanyabiashara wenyewe wa maziwa, Breed kama Jese ambao ndio hutoa maziwa mengi sio common Tz,wenye ng'ombe nyingi hufuga kwa ajili ya nyama zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: nao
You people need to be serious. You live in an agrarian society and agriculture is not taught in some schools? No wonder you are always behind in everything.
Tulia acha pupa bibi wewe,Masomo ya ordnary level yako mengi sana na form 4 mwisho wa kufanya mitihani ni kumi tu sio zaidi! !
Usitake kujifanya Kenya kila shule inafundisha kila somo is sec

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom