LAGOS, NIGERIA: Mwanaume afariki baada ya kufanya mapenzi kwa round 7

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina moja tu la Davy amefariki wakati akiwa kwenye mashindano ya kufanya mapenzi na Mwanamke aitwaye Loveth

Baada ya mabishano ya muda mrefu baina ya wawili hao Davy aliamua kumpeleka Loveth kwenye hoteli moja iliyopo Ikotun, Lagos kwa ajili ya kuthibitisha nani anauwezo wa kufanya mapenzi zaidi

Inaelezwa kuwa Davy aliimudu vyema mizunguko ya awali kabla ya kuzidiwa na kufariki akiwa kwenye mzunguko wa 7

Loveth aliomba msaada kwa Meneja wa hoteli hiyo ambaye alimpeleka katika Kituo cha Polisi cha Ikotun huku mwili wa Davy ukipelekwa Hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi

======

Man dies during sex competition after finishing the seventh round

A middle-aged Nigerian man has sadly died during a sex competition after endeavouring to finish the seventh round.

The deceased identified only as Davy reportedly died on his sex contender also identified as Loveth.

He reportedly took Loveth to a popular hotel located in Ikotun area of Lagos after a debate about which of the two would emerge victorious in a marathon sex.

While the deceased believed he has sufficient prowess to make Loveth run for her life, she also insisted that the deceased would not withstand her ability to accommodate many rounds of hot sex.

Davy trusted himself so much that he staked N50,000, gingering Loveth to rise up to the occasion.

When the ‘competition’ got underway, Davy was on top of his game and was able to chalk six good rounds.

However, he could not survive the seventh round as he collapsed and died on the woman.

Loveth who became alarmed called for help and the hotel manager handed her over to the Ikotun Police Division for investigation, while the corpse of the deceased was deposited at an undisclosed hospital for autopsy, PM EXPRESS reports.

Loveth was later transferred to the SCIID Panti Yaba where she narrated the entire incident.

Sources say the autopsy report will determine what charges would be proffered against her, if there is any.

Pulse
 
Akili zingine mbovu kweli, hata bongo watu wanakasumba ya mabao mengi... Bao saba unatafuta nini, kutoa povu? Hata kama ni mashindano kwanini usifanye bila kukojoa, we fanya tu mfululizo mpaka mwanamke achoke! Vifo vingine vya aibu!
 
Ingekuwa enzi zile za ujana hilo linawezekana lakini kama umri ulishamtupa mkono hiyo kitu sio ya kujaribu.Watu wengi wanashindwa kuelewa kuwa huu moyo tulio nao uwezo wake wa kuperform mambo magumu huwa unapungua kadri umri unavyozidi,ndio maana,wacheza mieleka,footbal,kricket,boxing n.k huwa kuna umri ukifika ni lazima uache,na kwenye hiyo shughuli ukumbuke kuwa moyo huwa unatumika kwa karibu aslimia 90 ya uwezo wake wa kufanya kazi....
 
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina moja tu la Davy amefariki wakati akiwa kwenye mashindano ya kufanya mapenzi na Mwanamke aitwaye Loveth

Baada ya mabishano ya muda mrefu baina ya wawili hao Davy aliamua kumpeleka Loveth kwenye hoteli moja iliyopo Ikotun, Lagos kwa ajili ya kuthibitisha nani anauwezo wa kufanya mapenzi zaidi

Inaelezwa kuwa Davy aliimudu vyema mizunguko ya awali kabla ya kuzidiwa na kufariki akiwa kwenye mzunguko wa 7

Loveth aliomba msaada kwa Meneja wa hoteli hiyo ambaye alimpeleka katika Kituo cha Polisi cha Ikotun huku mwili wa Davy ukipelekwa Hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi

======

Man dies during sex competition after finishing the seventh round

A middle-aged Nigerian man has sadly died during a sex competition after endeavouring to finish the seventh round.

The deceased identified only as Davy reportedly died on his sex contender also identified as Loveth.

He reportedly took Loveth to a popular hotel located in Ikotun area of Lagos after a debate about which of the two would emerge victorious in a marathon sex.

While the deceased believed he has sufficient prowess to make Loveth run for her life, she also insisted that the deceased would not withstand her ability to accommodate many rounds of hot sex.

Davy trusted himself so much that he staked N50,000, gingering Loveth to rise up to the occasion.

When the ‘competition’ got underway, Davy was on top of his game and was able to chalk six good rounds.

However, he could not survive the seventh round as he collapsed and died on the woman.

Loveth who became alarmed called for help and the hotel manager handed her over to the Ikotun Police Division for investigation, while the corpse of the deceased was deposited at an undisclosed hospital for autopsy, PM EXPRESS reports.

Loveth was later transferred to the SCIID Panti Yaba where she narrated the entire incident.

Sources say the autopsy report will determine what charges would be proffered against her, if there is any.

Pulse
bao saba kafa aiseee
 
Back
Top Bottom