and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,229
- 39,714
Huenda zile picha zao ni za miji mingine Ila sio LagosKwa hiyo kumbe Wanigeria huwa wanatuonyesha mapicha ya City Centre pekee siyo?
Nijuavyo Lagos ni boonge la Jiji lenye mandhari safi
Ni kweli Mkuu. Nilipigwa na butwaa day 1 natua Murtala Muhammed airport, Lagos Kwa yafuatayo,Wewe ukiona watu wako tayari kufa maji almradi wafike Ulaya; watu wanasambaa na kulowea kwenye Nchi nyingine, siyo kwamba (wanaijeria) wanapenda kulowea, shida na mustakabali usio wa uhakika ktk Nchi yao ndiyo unawafanya kukimbia kwao. Waethiopia, wasomalia, hali kadhalika. Tz tuko vizuri.
Kwa hiyo kumbe Wanigeria huwa wanatuonyesha mapicha ya City Centre pekee siyo?
Nijuavyo Lagos ni boonge la Jiji lenye mandhari safi
Nimewahi kufika New Delhi angalau Wana afadhali (airport Safi kuliko Lagos).Nasikia makao makuu ya uchafu duniani ni india [emoji1787][emoji1787][emoji1787]wale jamaa nasikia ni wachafu sasa sijui watakua ngoma droo na wanaija.
Ikeja Uswazi tu mbonaMkuu kweli hapo ni pachafu au sio ila matajiri wa nigeria ni wanakaa banana island huko ikonyi, huko mkuu ni nyoko sana, billionaires wanaishi huko masta na kuna sehemu kama saba ivi, kuna lekki, victoria island na eko atlantic na ikeja, hizi sehemu nlizotaja mzee WEKA MBALI NA WATOTO, usije ukafananisha na tanzania kabisaaaaaa, NI NOMAAAAAAA
2. Trolley za kubebea mizigo zinalipiwa tofaut na airports nyingi ambako huwa ni bure.
Kuna sehemu wanaita kama hivyo ni hatari ila sehemu kama victoria island ambako hata boss kubwa anakaa ni hatari man, lakin hata hivyo population ni kubwa pale mkuu, watu karibia milion 16 sio mchezoIkeja Uswazi tu mbona
😂😂😂😂😂Ukiponea kwenye rushwa kwa Imm officers Kingine kudai tips🙌,hawaombi hawa binadamu ni kudai aiseeh .
Jamaa wapo wengi ajabu. Hospitali za Umma kama jela tuKuna sehemu wanaita kama hivyo ni hatari ila sehemu kama victoria island ambako hata boss kubwa anakaa ni hatari man, lakin hata hivyo population ni kubwa pale mkuu, watu karibia milion 16 sio mchezo
Serious ndugu,anayosema mleta thread ni kweli na hapo porter atalazimisha/kutaka kukusaidia so hizo luggage carts fee ni nje ya tip ya porter,ukimruhusu na afahamu sio nigerian bhaaaas umeenda na maji ....wako kibiashara zaidi🤣😂😂😂😂😂
Naelewa ndio mana nimecheka na wanajua kunganganua kinomaaaaaaSerious ndugu,anayosema mleta thread ni kweli na hapo porter atalazimisha/kutaka kukusaidia so hizo luggage carts fee ni nje ya tip ya porter,ukimruhusu na afahamu sio nigerian bhaaaas umeenda na maji ....wako kibiashara zaidi🤣
Me sipend uking’ang’anizi wao, hata makonda wa magufuli hawanganganii vile aisee, yan kudadek aisee….Jamaa wapo wengi ajabu. Hospitali za Umma kama jela tu