Seven Mosha anatakiwa aamke sasa hii ngoma inastahili kufika mbali wale H_Art band watu hatari sana hasa yule mhuni aliefanya verse ya kwanza weka mbali na watoto na dada yetu nae kakaza sana,hii joint inastahili kubakia kwenye hii device yangu kwa muda kidogo sio kama zile ambazo na-download alafu na-delete baada ya kusikiliza mara 3.