Lady jaydee awaponda people's station!.

Lady jaydee awaponda people's station!.

Pawaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1,349
Reaction score
1,011
Akionekana kukasirishwa na mwenendo wa clause fm Lady Jaydee ametweet haya:
"hawa wanaonajiita peoples' station(guess ni ipi) ni radio ya watu isiyopiga nyimbo za watu ila za wasanii wao tu wasiopendwa na watu;kill me if you can,am on fire siogopi ng'ooon jipangeni upya. Ni kweli nimelamba sumu lkn hainidhuru nakunywa maziwa daily I will survive...loh mnalishwa chungu na tamu vyote mnakula,vinyoka nyie nyamazen acheni Anaconda aongee".

My take:naona kama kaanzisha bifu na hawa watu atawaweza kweli?
 
No such thing as a bad publicity... (or so they say..)

Never let your name be forgotten.., put yourself in the media by any means necessary..

Ingawa kama asemayo ni ya kweli good for her.., someone gotta do it..
 
Well Said Jide,
Nakumbuka she came frm smooth vibe project, project ya Ruge by then, ukweli ni kwamba anajua undani wa hao jamaa na ameamua kutoa kile anachokijua na anachoamini kipo ndani ya hao people's station!
 
unafiki tu.siku zote alikuwa wapi aje kuanza kuropoka sasa hivi.acha chuki binafsi na kumbuka wale wako kibiashara zaidi na daima watapiga nyimbo wanazoamini zinapendwa na jamii inayowasikiliza hasa vijana so kama una kawimbo kako unaamini kako juu sana peleka kwingine sio lazima hapo.kichekesho ni kuwa unasema hawapendwi na watu and still unaumia wanavyokupotezea.ungetumia busara ukapeleka hizo nyimbo zako huko unakoamini wanapendwa na watu ili zisikilizwe na hao watu ukatuacha tusio watu tuendelee kusikiliza kisichopendwa na watu!!!wasalimie
 
'haya...........kwenye msafara wa mamba hata kenge hawakosekani na mamijusi utayaona tu na utayajua tu kwa ngozi zao,kitanda usichokilalia huwezi kujua kunguni wake hata siku 1'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom