warumi unapenda sana kuzungumzia mafanikio ya Jide nje ya muziki... hapa hakuna anayejadili utajili wa mtu kwavile si mimi wala wewe ambae anafahamu utajiri wa kila mmoja... juzi juzi tu Ray nae akaibuka na kusema yeye ndie msanii tajiri kuliko wote... mwakajana Diamond nae akaibuka na kusema akaunti yake ina angalau Bilioni moja za Kitanzania... nani anaweza ku-confirm yote haya.... si ajabu msanii tajiri kuliko wote ni Riyami Ally, who knows??!!! It's good kwa Jide kwamba ana vit vinavyoonekana, lakini kuna wengine vya havionekani!!! Sasa kwavile hatuwezi kuyapatia majibu sahihi mambo kama haya, wengine tuta-base kwenye kazi za kisanii! Leo hii nikisema ama Jide au Kiba amefulia, reference yangu haitakuwa kufulia kiuchumi coz' sifahamu what they own....We unadhan jide anababaishwa na nini?? Kama uhakika wa maisha anao ata asipoimba mwaka mzima, bado ataingiza pesa kila wiki pale nyumbani lounge, bado ana vitega uchumi kibao , kama kufulia kimuziki kafulia kitambo na sasa ivi anaishi kwa nguvu za pesa yake mwenyewe, maana hata nyimbo zake izi mbili za mwisho hazijafanya poa ila bado mwenzenu life linasonga mbele, inshort achaneni na jide, yule kashashindikana ndugu zangu, mtajisumbua bure yule maisha kashayapatia kitambo
warumi unapenda sana kuzungumzia mafanikio ya Jide nje ya muziki... hapa hakuna anayejadili utajili wa mtu kwavile si mimi wala wewe ambae anafahamu utajiri wa kila mmoja... juzi juzi tu Ray nae akaibuka na kusema yeye ndie msanii tajiri kuliko wote... mwakajana Diamond nae akaibuka na kusema akaunti yake ina angalau Bilioni moja za Kitanzania... nani anaweza ku-confirm yote haya.... si ajabu msanii tajiri kuliko wote ni Riyami Ally, who knows??!!! It's good kwa Jide kwamba ana vit vinavyoonekana, lakini kuna wengine vya havionekani!!! Sasa kwavile hatuwezi kuyapatia majibu sahihi mambo kama haya, wengine tuta-base kwenye kazi za kisanii! Leo hii nikisema ama Jide au Kiba amefulia, reference yangu haitakuwa kufulia kiuchumi coz' sifahamu what they own....

Umeongea point. tunaangalia mafanikio na maendeleo yake ktk music si vitu anavyomiliki, Halafu Warumi ananifurahisha anamuita tajiri.
mwanamuziki nguli wa bongo fleva na mmliki wa machozi band, judith wambura aka lady jaydee ameonekana kusalimu amri kwa utawala wa radio clouds fm kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni kuyumba kibiashara katika muziki wake.
Kutokana na hali hiyo, ndipo ikaelezwa jaydee akaamua kuwaangukia mahasimu wake(ruge na kusaga) ili waendelee kumsaidia kama ilivyokuwa mwanzo.
"ni taarifa za kweli kabisa, wameshakaa kikao na jide akaomba asamehewe, wakati wowote kuanzia sasa mtasikia nyimbo za lady jaydee zikipigwa clouds fm" kilisema chanzo hicho.
lady jaydee akana kumpigia magoti ruge
Umeongea point. tunaangalia mafanikio na maendeleo yake ktk music si vitu anavyomiliki, Halafu Warumi ananifurahisha anamuita tajiri.
Nina habar mbaya mkuu, Mwanamuziki lady jaydee aliyefulia kimuziki jana kapata tuzo nyingine.
Hiyo ni habari njema mkuu sema akianza kukosa msije mkaanza kulia na clouds.
Tuseme ukweli Jay dee si mwanamuziki mzuri kwa sasa sema hakuna ushindani ktk wanamuziki wa kike huo ndio ukweli. Kama washindani wenyewe akina Vanesa na Feza ambao wanaeleweka kwa watoto wa kisure tu lazima ashinde. Jaydee ni mbovu siku hizi sema anashinda katikati ya wabovu.
Ahahahh, sasa ivi ndo naanza kukuelewa kuwa una chuki binafsi tu na jide na sio vinginevyo
Msanii mbovu toka mwaka 2000 had jana ananyakua tuzo yeye tu??, kaporomosha mjengo pamoja na restaurant ya adabu pamoja na kununua mkoko expensive , hayo yote ni kutokana na muziki wake mzuri kukubalika kwenye jamii
Au tafsir yako kwa mwanamuziki asiyefulia ni kutoa nyimbo kila siku?, au kupiga show kila siku sweden?? Kwa jide muziki ni kazi, kwa jide mziki ni maisha, na kweli mziki umempa maisha na heshima ya kutosha ndani na nje ya nchi, BIG UP sana KOMANDO JIDe

Sina chuki binafsi sababu simjui hanijui ,kufanikiwa/kutofanikiwa kwake hakunihusu/hakunipunguzii/hakuniongezei chochote naongea kama mshabiki tu wa muziki. Sijakataa kuwa Jaydee hajawahi kuwa mwanamuziki mzuri huwezi mlinganisha Jaydee wa enzi zile zd SIKu HAZIGANDI,MACHOZI na USIUSEMEE MOYO na Jaydee wa YAHAYA(uliobebwa na bifu) na bado nakubalian Jaydee kwasasa ni msanii wa kike angalau miongoni mwa hakuna.
Na ni msanii peke
Mtu anayesema Jide kafulia kiuchumi labda sio mwana-Dar es salaam... hapa watu tunazungumzia muziki ingawaje hata utajiri wake ni kawaida sana!!!Nimekusoma mkuu, ila mtazamo wa wengi wenu ni kuwa jide kafulia kwa kuwa tu nyimbo zake hazipigwi clouds, nadhan unakukumbuka vizur vibao matata vya jide kama JOTO HASIRA na YAHAYA jinsi zilivyobamba na kumpatia tuzo mbali mbali
Maana yangu ni kuwa jide hajafulia sio tu kimaisha hata muziki pia, utanishangaza sana kusema eti jide kafulia kimuziki wakat juzi tu apa kajinyakulia tuzo za kili mbili, na mnaposhupalia shingo kusema jide kafulia, na RAY C mtasemaje??, Acheni hizo bhana
Na kwa taarifa tu, jide leo anapiga show matata sana kule pande za nairobi na kuna collabo anafanya na msanii wa kike kutok uko kenya, so endeleeni kusubiria sana utabir wenu, huenda siku ukatimia
Mtu anayesema Jide kafulia kiuchumi labda sio mwana-Dar es salaam... hapa watu tunazungumzia muziki ingawaje hata utajiri wake ni kawaida sana!!!
Nafahamu, una mahaba ya dhati kwa Jide lakini hata kama Jide jajafulia kimuziki, kimsingi ameshuka sana!!! Miaka iliyopita haikunipita Album wala show ya Jide... tena usisahau, enzi zile ukitaka album lazima uingie mfukoni na sio kama hivi sasa!! And you know what, enzi nilikuwa mwanafunzi tu lakini Jide aipotoa Album, nilijimiznywa na kununua lakini kwa sasa si tu kwamba siwezi kununua album yake (usidahani machukia yeye binafsi) lakini hata huko ku-download sioni wimbo wa ku-download. Binafsi, kwa kazi alizo-release karibuni labda Historia ndiyo mtu anaweza kunishawishi kwamba ndie Jide tuliyemfahamu..., Angalia Yahya... hakuna kitu pale, najua mashabiki wake mtapinga lakini ngoma ilipata popularity kv ilitoka at the right time. Ichukue Yahya kama ilivyo kisha assume ndo imeimbwa na mtu kama Menina... isingepata touch kama iliyopata kwa Jide...
Inawezekana warumi we ni mtoto mdogo... humjui Jide tunayemzungumzia sisi... si huyu... huyu wa sasa hajafika hata nusu ya Jide yule tunayemfahamu!!! Tunamzungumzia Jide wa Kolabo ya Ama Zao ama Zangu, Jide wa Kolabo ya Mnyalu, Jide wa Kolabo ya Hawajui tulikotoka, Jide wa Kolabo ya Sikiliza, Jide wa Kolabo ya Understand... sijataja za kwake peke yake... halafu linganisha yoyote kati ya hizo na Kolabo yake ya Joto Hasira au pini yoyote aliyotoa miaka ya karibuni!!!!