Hayo ya kuhangaika ni maruweruwe yako tu. Sina shida yoyote mimi sasa nihangaike na nini? Wewe labda ndiye unayehangaika na maisha yako na hivyo unadhani labda na wengine pia wanahangaika kama wewe. Hiyo kwenye saikolojia tunaiita 'projection'. Google it.