LADY JAY DEE vitani na CLOUDS FM

LADY JAY DEE vitani na CLOUDS FM

Mpaka Jide kafunguka mambo yashaharibika

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ameshaona amefanikiwa kupata leseni ya kufungua radio fm yake!hatua nzuri sana ila pambano bado sana maana uwanja una miiba na sio salama sana kucheza bila tahadhari wenzake wameshakomaa vilivyo!ajiandae kwa vita baridi maana ameshatangaza vita moto na baridi pia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom