Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar
Kaweka mwenyewe kwenye account take ya IG ya juu anashukuru coastal kwa usafiri na ya chini anawashukuru Serena hotel kufanikisha honeymoon yake. Labda kama wewe ndio uchukue hizo picha uziedit