Ukweli jaydee ananikosha sana,hongera sana kwa kufunga harusi mamiii,mwenyezi mungu akujaliw maisha marefu na yenye furaha.Cha msingi tambua tuu kuwa hakuna mtu aliye mkamilifu,hivyo utasamehewa nawe ukisamehe,utape dwa ukipenda,binafsi nakuheshimu kwa vile pia unajiheshimu,