Piere. Fm JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,261 Reaction score 1,253 Nov 15, 2013 #21 ray05 said: Redio ya wafu lazima wajinyonge mwaka huu,wabaya wao wanaendelea kushine Click to expand... Hahahahahaha Wafu Fm kazi wanayo.
ray05 said: Redio ya wafu lazima wajinyonge mwaka huu,wabaya wao wanaendelea kushine Click to expand... Hahahahahaha Wafu Fm kazi wanayo.
MTAZAMO Platinum Member Joined Feb 8, 2011 Posts 20,113 Reaction score 35,491 Nov 15, 2013 #22 Ruttashobolwa said: MTAZAMO pale ni mwendo wa band tuu yaani live music. Click to expand... Mkuu hiphop ni DJ na nguzo nyingine hivyo bendi ni nakshi tu lakini DJ ni muhimu na kwenye hiphop live ni pale msanii anapotumia beat bila sauti! Hiphop bila DJ anayeweza kusratch na ku add lip hainogi!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ruttashobolwa said: MTAZAMO pale ni mwendo wa band tuu yaani live music. Click to expand... Mkuu hiphop ni DJ na nguzo nyingine hivyo bendi ni nakshi tu lakini DJ ni muhimu na kwenye hiphop live ni pale msanii anapotumia beat bila sauti! Hiphop bila DJ anayeweza kusratch na ku add lip hainogi!!