bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,997
Dah naona nyuzi nyuzi Tu hapa, kesho mzeeusitupie vyombo bana utaanza kuangusha ukunga.......
Dah naona nyuzi nyuzi Tu hapa, kesho mzeeusitupie vyombo bana utaanza kuangusha ukunga.......
haha yetu macho...Hataki wanaume wasiojua kupika na wachafu, sa ivi anawafundisha wenzake hizo do&donts kwa wanaume...ngoja tuone kinachofuata
haha yani umeamua kulala kabisa kweli umezidiwa basi usiku mwema......Dah naona nyuzi nyuzi Tu hapa, kesho mzee
Unakishtulia wapi icho nikupe kampani? Niko na cha kishumunduNgoja nkastue kidogo am coming back mzee, Leo kichwa iko mbovu Sana aisee
Namba 3 na 6 umemaliza kabisa.
cc: miss chagga, Preta, Nifah, Valentina mkuje huku jamani, mwanamke mwenzenu kamwaga ugali hahaaaa.

ni ushauri ati unaeza ukachukua au kuachaKuna kitu unakitafuta mdada,ila jeiefu ilivyo pana,utakipata tu,all the best
Wewe ndio huyo dada bestie?ni ushauri ati unaeza ukachukua au kuacha
sifanani nae mimi nakojoa nimesimama yeye anachuchumaa....ntake radhi mkuu mimi Dada tena?Wewe ndio huyo dada bestie?
Huhuhuhuuuu chezea JF wewe?Kuna kitu unakitafuta mdada,ila jeiefu ilivyo pana,utakipata tu,all the best
Ndio analo.....Namba 3 na 6 umemaliza kabisa.
cc: miss chagga, Preta, Nifah, Valentina mkuje huku jamani, mwanamke mwenzenu kamwaga ugali hahaaaa.
Kuna kitu unakitafuta mdada,ila jeiefu ilivyo pana,utakipata tu,all the best
Sasa inakuaje unaingilia mambo unamsemea eeh? ye mwenyewe kapita kimya...vingine vikupite basi kaka angusifanani nae mimi nakojoa nimesimama yeye anachuchumaa....ntake radhi mkuu mimi Dada tena?
Hahaha,ngoja tuone anaweza kuwazidi ujanja,chezea toto la nai...Huhuhuhuuuu chezea JF wewe?
Wenzie wanalia na kusaga meno.
Ila huyu anaonekana mjanja mjanja.
Kashawapata wengine,bado wewe tu..Hatupati.....