Its monday guyz, Hi!
Kuna vitu vingi huwa najiuliza kuhusu hawa viumbe wanao pamba dunia but leo na swali hili utakuta mwanamke anasifa zote nzuri za kuwa wife material but katika tendo yeye akirizika ukimfikisha ni kwanini hahitaji tena yani sometime anageuka kabisaa upande wapili, ooh baby nimechoka.
Ladies naomba majibu?