Jamani, napenda kutoa shukurani zangu za dhati kabisa kwa wale wote walionitumia jumbe za faragha. Ningependa kuwafahamisha kuwa mwitikio umekuwa mzuri kuliko nilivyotarajia. Nimeweza kuongea na mabinti kadhaa walio watanashati. Asanteni sana ndugu zangu.
Special and heartfelt thanks go out to my new found friend (you know who you are). You are simply drop dead gorgeous and yes, you made me drool. I'm for real. I'm looking forward to get to know more and better. I had a blast choppin' it up with you and I hope you did too. Enjoy your weekend baby doll.
out of topic-Kuna member humu ndani anaitwa DIANA DABODIFU sijui kwanini hilo jina nalipenda sana na kila mara linanifanya nifikirie hiyo 'dabo difu'
dah,,,,,GS naona umegonga senks apo juu ina maana wewe ndo umepatikana!
Afu thanks to NN nilikuwa sijui kama Gaijin ni mwanamke, sasa kutusaidia mkulu unaweza kufoward some CV ambazo zimebaki ili tuone kama due proceee ilifanyika...(unajua tena mambo ya ufisadi)

Ila wewe unamatatizo?unamwambia NN hamnazo.Kama sredi haijakugusa siuiache?kwani lazima uchangie.hamnazo
Hongera NN.. I like your style.. nadhani that is the best way to do it uh? kwa hivyo vijana changamkeni wekeni sera zenu.. na mkae kuangalia PMs zenu
Mwanakijiji kazi imekushinda???
Nilikueleza nini ukamwambie NN au umeona wivu - Yatakushinda.
Baadhi ya sifa nmezitaja hapo juu na naongeza nyingine hapa.
Wanatakiwa wawe na
-Uwezo mzuri wa kujieleza
-Kujua kuandika bila makosa ya herufi
-Wajue kuzungumza Kiswahili fasaha na sanifu (Kiingereza kitafikiriwa pia)
-Wawe wenye upendo, ucheshi, na msingi mzuri wa maadili
Nimepita bila kupingwa...lol!
Annina
Mwanakijiji kazi imekushinda???
Nilikueleza nini ukamwambie NN au umeona wivu - Yatakushinda.
duh! bi thumuni kwa kwa kweli nilipitiwa kabisa..ila kwa vile mwenyewe yupo na PM kaziweka huru nenda kamwagie sera tu.. sidhani kama atajali kuongeza ndege kwenye kiota..
Hehehehe...hapana bana Semenya aka GS haku-pass background check iliyojumuisha genetic testing kuhakiki jinsia maana siku hizi bana huwezi jua...unaweza ukatoka na tranny (transgender) bila hata mwenyewe kutambua. Kuna ma tranny wazuri kushinda hata mademu wenyewe....usifanye mchezo bana. Huko tunakokwenda kubaya....
Ila na wewe Mwanakijiji noma sana bana...wewe unabania meseji yangu toka kwa Bi Thumni....sio freshi namna hiyo
Hehehehe...hapana bana Semenya aka GS haku-pass background check iliyojumuisha genetic testing kuhakiki jinsia maana siku hizi bana huwezi jua...unaweza ukatoka na tranny (transgender) bila hata mwenyewe kutambua. Kuna ma tranny wazuri kushinda hata mademu wenyewe....usifanye mchezo bana. Huko tunakokwenda kubaya....
Mwanakijiji kazi imekushinda???
Nilikueleza nini ukamwambie NN au umeona wivu - Yatakushinda.
Mmh,Kaizer kulikoni jamani?na huku tena,mi application yangu ni kwa mmoja tu haitabadilka kwenda kwa mwingine?by the way vigezo vya Nyani Ngabu ni cheap mno hivyo nisingwezena naye,anazungumzia eti GPA ya 3.0,aargh,anazungumzia mipira aargh!Lakini kubwa zaidi hili Semenya ndio bomba zaidi kwani wewe unaelewa bana,mambo ya He na She at a time..NN ataniweza kweli?